MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ni weweMsanii ni nani?
Ni promotion ya NGONO mikoani.full stopMimi kinachonitia kichefuchefu kwenye matamasha ya wasafi na mengine ni kuhsindwa kuimb alive band.
Kuimba umezima mic ni uhuni na wizi wa fedha kwa waenzi wao.
Nini kinawafanya washindwe kufanya show ya kikubwa kama fally ipupa?
Kuimba kwa kufatilizia CD ni upuuzi wa last century. Inakera na inaboa pia.
Wajifunze kwa
BURNA BOY
THE WEEKND
ADELE
HAWA WANAFANYA WORLD STADIUM TOURS.
HAWANA MUDA WA KUFANYA MAIGIZO STEJINI ZAIDI YA KUHAKIKISHA WANAFANYA ZOEZI LA KUTOSHA NA BAND ZAO.