Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.
================================
Update: 02/08/2019
Harmonize asikia kilio chetu