Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Nadhani ingekuwa vyema kuwa wazalendo kidogo, katika moja wapo ya nyimbo zao wakawa wanachomeka neno Serengeti au hata Ngorongoro, itasaidia sana kiutalii wa ndani na wa nje.
================================
Update: 02/08/2019
Harmonize asikia kilio chetu
wewe katika kazi yako ushawahi taja hayo maeneo?