Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

Chuga hamna wasanii washamba wahaya na chuga mna nn Sasa shobo punguza na wahaya wale mapresenters wenu wanaoliwa ndogo walianza Anza ivyo kuletq Shoba na watu wa bukoba kuwa makini utaliwa
Do you have any bad experience with people of lake zone ?.
 
Chuga hamna wasanii washamba wahaya na chuga mna nn Sasa shobo punguza na wahaya wale mapresenters wenu wanaoliwa ndogo walianza Anza ivyo kuletq Shoba na watu wa bukoba kuwa makini utaliwa
Nilikuwa nawapa shout out tu Wahaya, sababu kuna mazezeta kama wewe walidhani Ruge alikuwa akipendelea Wachaga
Ila kwa kifupi ni Chugga haihitaji wahaya wala watu wowote kuendelea kuwa juu
 
Nilikuwa nawapa shout out tu Wahaya, sababu kuna mazezeta kama wewe walidhani Ruge alikuwa akipendelea Wachaga
Ila kwa kifupi ni Chugga haihitaji wahaya wala watu wowote kuendelea kuwa juu
Fala mwenzio si kasema combination na wahaya 🤣🤣🤣nyie ndo mmeleta ahobo kuwa juu kwa lipi kapumuliwe kisogono kama wenzio huko
 
Fala mwenzio si kasema combination na wahaya 🤣🤣🤣nyie ndo mmeleta ahobo kuwa juu kwa lipi kapumuliwe kisogono kama wenzio huko
wewe unawaza kupupuliwa kisogoni ndio maana unayaleta hata kusikohusika, ndio mambo yanayojaza kichwa chako? hapa tunaongea muziki wewe unaleta ufirauni? na aliyeanza shobo ni yupi sasa, maana tunaona mtu ameanzisha mada kuhusu Joh Makini kuwa hatoi ushirikiano, sasa mwenye shobo ni yupi? au bhao Wahaya washobokewe kwa lipi sasa kwenye muziki na media? kuna mhaya anamiliki media?
 
Unakuwa kma mthenge soma comment ya mwenzio anavyosema eti mkiungana na wahaya sijui ndo nn Sasa kama sio shobo za kithenge toka hapa
 
Thread yoyote itakayowahusu watu wa Arusha kwenye jukwaa hili lazima uone matusi. Bangi na milungi sio kitu kizuri, ndio maana hapo down town kwao machoraa ni wengi kuliko watu wanaolala ndani.
Napigilia msumari hapa
 
Ambacho hujui ni kwamba Watu wa Arusha tunasimamia katika kazi yetu tani ubora wa kazi zetu ndio unatubeba na sio uchawa
 
hao kumbi kumbi wote ulio wataja wakikusanya vi pesa wanavyo vimiliki hafiki hata nusu ya diamond, bongo nzima ina msanii mmoja tu international na unamjua. Huo utoto wako mwinginebaki nao ni ujinga unaambukiza. eti whozu, chin beee maua fvck
 
Mimi nimekaa Arusha na nimesoma pia, machalii wengi wanamiliki na kusikiliza nyimbo za wasanii wote hawa wabana pua wa bongo kina diamond kiba, marioo, woote yaani. Hivi vitu vingine vinavyo endelea ni utoto tu maana kama umasikini upo na umejaa arusha kila kitu ni kama mahali pengine huko kama mwanza, Mbeya na mahali pengine. Joh mwenyewe hakubaliki na machalii wote wa Arusha wengine wanamuona bishoo tu kwahiyo ni kawaida tu kwa majitu meusi
 
HANA NYIMBO NZURI AKITOA NZURI ITAPIGWA TU
Hii roho mbaya uliyonayo umeirithi kutoka upande upi wa Baba? au Mama? HANA NYIMBO NZURI? JOH MAKINI? WEWE KUWA SERIOUS WEWE KUWA SERIOUS WEWE KUWA SERIOUS WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…