Ila Kilimanjaro na Arusha tuna wasanii wengi sana tena international kwelikweli kweli
Vanesaa Mdee
Maua Sama
Navy Kenzo
Whozu
Bilnass
Malkia Karen
Shaa
Nikki wa pili
Nako2Nako
Chin bee
Etc etc etc
Nyinyi kisa daimond kwao Kigoma mkaja na Kigoma all [emoji93], Ukienda mwanza msanii wao Best Nasso, mbeya msanii wao ni mr. Xmass etc etc. Nyinyi mkijikusanya wala sio ukabila lakini sisi tukimind our own business inakuwa ukabila, kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.
Yeye daimond nyimbo zake sizisikii kwenye ITV, EATV etc sasa kwa nini na za Clous nazo zisikike huko kwa Daimond.