Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
- Thread starter
-
- #21
kwahiyo unadhani jamal anatosha kufanya kazi zote mbili haitaji msaadaKweli anayo ,lakini ninachomkubali huwa anayafanyia Kazi mapungufu yake na kuimprove .Zamani nilikuwa hata kumsikiliza siwezi nikawa nina dhana ya kuwa watu wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo ndio wanaoweza kumsikiliza na kushangaa watu wakimsifia ila nimeona video zake za karibuni amejigahidi sana.
Watu wanaofuatilia hizo story ni vilaza fulani tu hivi..Wana wanampa sifa nyingi sana Jamal April sometimes anazingua kutuletea story za upuuzi kuelezea maisha ya peponi, mara jehanam kupoje mambo ya dhahania dhahania yanakera sana. watu tunataka mambo yalioExist, mambo reality
Lazima uchague sio kila kitu cha kusikiliza, mimi nafutilia zaidi stori zinazohusu maisha ya watu mule mfano Bob,Dube,Bruce viongozi nk coz najua inakuwa ngumu kukuta chai ila hayo matukio uchwara naishia kusoma heading tu.Watu wanaofuatilia hizo story ni vilaza fulani tu hivi..
Mtu na akili yako huwezi kushabikia hizi story za kusadikika kwenye hizi simulizi uchwara.
sio kwamba ni ngumu, haiwezekani,kabisa kurudi pale ,nyie ndio mnaangaika tu kumlilia arudiwasafi walimuondoa kwa kumchafua hiyo ndo sifa ya wasafi wanakuchafua kuwa wewe mlevi, jeuri na unatumia mihadarati ..
sasa itakuwa ngum sana mtiga kurudi wasafi media
Hakuna tatizo hapa. Kama kazi inafanyika vizuri sioni shida iko wapi kwasababu kazini pia huwa inatokea unapokuwa na majukumu ya ziada lazima ulipwe kwa majukumu hayo. Na kuna watangazaji wengi ambao pia ni producers wa show zao na wala sio tatizo. Na kwa kukusaidia, anayeandika jambo ndio ana hisia za kweli na lile jambo kuliko msimuliajishida sio Jamal kufanya vitu viwili. ila kufanya vitu viwili kwa wakati moja kuna athari kubwa mfano jamal leo hii ana mvuto katika usimuliaji maana yake anataka kuandika pia anatka kusimulia hatima yake anakuta kuna kimoja anaharibu .
Jamal binadam kama binadamu wengine anatakiwa afanye kitu kimoja kwenye media yoyote lazima kuwa na mgawano wa majukumu .
Sio mtu moja huyo huyo awe producer, awe dj pia awe Radio presenter