Pre GE2025 Wasafi Media ishakuwa media ya CCM, wame-brand magari yao kwa rangi za CCM, kuelekea miaka 48 ya chama hicho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema si waanzishe TV zao na vyombo vya habari?Mtoto wa Mbowe si alianzisha gazeti?Tanzania Daima ???
Mnapiga kelele wengine wakitumia haki yao ya kidemokrasia kuunga mkono Chama wanachokipenda.
Au demokrasia kwenu ni kuunga mkono Chadema pekee utake usitake?
 
Wakuu

Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM

Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?

Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na kuepuka kuegemea upande wa kisiasa ili kudumisha uaminifu na uwajibikaji kwa jamii. Kujihusisha na siasa kunavifanya kupoteza uadilifu na kugeuka majukwaa ya propaganda badala ya vyanzo vya taarifa sahihi.

==

Maoni ya mdau
Usiwachagulie cha kufanya, we anzisha ya kwako itumie unavyotaka. Nyie nyumbu msilazimishe mambo
 
Mama Samia anautafuta urais kwa kila namna kwa sababu anajua hakubaliki. Itafikia siku hata hii hewa tunayovuta watachora picha za Samia. Mwache akamie tu lakini hajui kuwa Mungu anaweza kuwa na mipango mingine kabisa. Magufuli alivuruga uchaguzi wa 2020 akidhani amekomoa wapinzani kumbe alikuwa anakaribia mwisho wa maisha yake.
We unaumwa na utakufa kwa sonona. Samia ushindi wake hauhitaji ht kampeni na ni zaidi ya 95%. Nyie nyumbu mna shida
 
Wakuu

Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM

Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?

Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na kuepuka kuegemea upande wa kisiasa ili kudumisha uaminifu na uwajibikaji kwa jamii. Kujihusisha na siasa kunavifanya kupoteza uadilifu na kugeuka majukwaa ya propaganda badala ya vyanzo vya taarifa sahihi.

==

Maoni ya mdau
Hata Marekani vyombo vyao vya habari vina upande vinapoegamea kama ni Republican au Democrats. Fanya study utaona hili. Kama huwezi basi niulize nikwambie.

Na ukikereka zaidi, anzisha midia yako isiyoegamea upande wowote!
 
Chadema si waanzishe TV zao na vyombo vya habari?Mtoto wa Mbowe si alianzisha gazeti?Tanzania Daima ???
Mnapiga kelele wengine wakitumia haki yao ya kidemokrasia kuunga mkono Chama wanachokipenda.
Au demokrasia kwenu ni kuunga mkono Chadema pekee utake usitake?
Mkuu, haiongelewi chadema, mleta taarifa kasema kama chombo cha habari ambacho si cha chama husika kuonyesha keagamia upande fulani hakuleti afya katika sekta ya habari. Mambo ya chadema tuoa kule
 
Usiwalaumu wanajipendekeza hivyo ili wasisumbuliwe na TRA hapo hata Kodi wanaweza kusamehewa, hii nchi bila kukisifia na kukipamba chama dola basi biashara yako itasakamwa vibay
Wakuu

Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM

Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?

Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na kuepuka kuegemea upande wa kisiasa ili kudumisha uaminifu na uwajibikaji kwa jamii. Kujihusisha na siasa kunavifanya kupoteza uadilifu na kugeuka majukwaa ya propaganda badala ya vyanzo vya taarifa sahihi.

==

Maoni ya mdau
 
Wakuu

Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM

Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?

Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru na kuepuka kuegemea upande wa kisiasa ili kudumisha uaminifu na uwajibikaji kwa jamii. Kujihusisha na siasa kunavifanya kupoteza uadilifu na kugeuka majukwaa ya propaganda badala ya vyanzo vya taarifa sahihi.

==

Maoni ya mdau
Nguvu na gharama inayotumika utadhani hiki chama ndio kimeanzishwa haiendani na namna wanavyojinasibu kukubalika bila wasanii bila hizi media hakuna kitu pamoja na kelele zote bado mtaani watu hawajui nini kinaendelea bado wanachokumbuka mkutano ulikua ni mmoja tu wa CDM
 
Simu moja tu hawa jamaa ni wamekutoa kiuchumi au ushakufa kiuchumi,
Chagua moja sasa
Taja media iliyoendelea hapa Tanzania kwa kuegemea ki ushabiki kwa ccm.
Mengine yanafurahisha na kuchekesha kwa pamoja.
Hapo hakuna biashara inayofanywa na media isipokuwa pesa inapigwa na hao wahuni wachache akina Kitenge. Utashangaa hiyo biashara unayosema lakini mwisho wa siku wafanyakazi wa chini hawajalipwa mishahara miezi zaidi ya Sita.
Nakupa mifano. Channels ten, Star TV, Uhuru Fm na Magazeti yake. Wote hao wameside na Ccm kwa karibu zaidi lakini uwezitambua kama wanalipwa pesa kama taasisi au pesa wanachukua watu wachache?
 
Mkuu, haiongelewi chadema, mleta taarifa kasema kama chombo cha habari ambacho si cha chama husika kuonyesha keagamia upande fulani hakuleti afya katika sekta ya habari. Mambo ya chadema tuoa kule
Hilo ni jambo la kawaida. CNN, NBC,ABC zote huwa zinaegemea upande wa Democrats huku FOX News wakiunga mkono Republicans kwenye siasa za Marekani.
Huwezi u dictate vyombo vinavyomilikiwa na watu binafsi viwe neutral wakati kila mtu ana uhuru wa kuamua kuunga mkono Chama chochote cha siasa. Kuanza kupangia watu ndio udikteta wenyewe huo.
 
I wish Mungu afanye yake, atuondolee hii balaa
 
Back
Top Bottom