Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Nilivyomuelewa jamaa ni kwamba kuna watu tayari wameshazinunua hizo frequency toka TCRA kwahio ukitaka kuanzisha kituo chako, lazima ununue kwa watu ambao walishazinunua hizo frequency toka TCRA maana TCRA washauza kila frequency kwa hapa darHiyo Paragraph ya mwisho uwongo,Frequency ni mali ya TCRA yy ndiye anaye panga na kuengineer na ukitaka nenda pale TCRA Frequency bado wanazo na ukimzingua anakunyang'anya Frequency zake.