Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #41
Ungejua? Hii ni habari ya uhakika ni vile tu siwezi kusema ilivyopatikana.Pale mwenye tetesi anapo "chalenjiwa" na wabobevu wa kazi. 😂.
Huu ndio uzuri wa Jamii forum
Lakini, muda si upo? Subirini uzinduzi wa Kings Media halafu mtarudi hapa.