Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Nazungumzia mkataba ambao diamond aliingia na Ziiki Media na kupewa $6 million ambapo mkataba huo ni wa 360, kwqmba kila pesa anayoingiza diamond na wao wana mgao wao ili kufidia hiyo pesa aliyopewa kwa dhamana ya master zake na za label nzima. Kwa kitaalamu mkataba wa aina hiyo ni mzuri mwanzoni ila ni utumwa fulani baadae kwa sababu kuilipa hiyo hela si mchezo hasa ukizingatia mauzo ya kazi zake kwenye digital platforms ni madogo sana kulinganisha na wasanii wa nigeria ambao kuwa na 100 million streams Spotify ni suala la kawaida sana.Si muongee kwa uwazi sote tuelewe jamani? Mbona mimi naandika kwa kirefu tu mnasoma vizuri.