Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

hapa ni issue ya Ali Kiba tena?
I thought Kusaga kaweka akili hapa Kiba kaweka jina tu ili waishinde Wasafi ili Clouds ibaki kinara, au ndo nishamix madesa?
mana mi naeee, umbea napenda ila fizikia na mambo ya media kavalej ndo utata
Sio Kwamba ilikuwa mbinu ya Kusaga kuendelea kupiga hela za Mama?

Maana Uchaguzi ni Mwakani tu hivyo atapata fursa ya kupiga hela za Kampeni kupitia media zake zote 6 sasa
 
Ndio maana ya partnership, mmoja akiwa mzembe lazima mambo yaende kwa kuchelewa.

Hii naongea tu bado sijapata uthibitisho nini hasa kinaendelea, ngoja nifuatilie nikipata habari nitakuja kuwaambia hapahapa.
 
Babu wewe ni genius, sikuwahi kuwaza huku mbali!
Ama kweli penye wazee hapaharibiki jambo, umetisha Babu 👏🏽👏🏽
 
Thanks Mjukuu 🤗

Ni vile nimezeeka sana saivi, vinginevyo ningekuletea draft ya vile hii michezo inafanyika

Hao media tycoons Wana play part kubwa sana during Election season
 
Ndio maana ya partnership, mmoja akiwa mzembe lazima mambo yaende kwa kuchelewa.

Hii naongea tu bado sijapata uthibitisho nini hasa kinaendelea, ngoja nifuatilie nikipata habari nitakuja kuwaambia hapahapa.
ah mi nikajua redio ina management, ina uongozi,ina watendaji na Kiba anaweza tu kuwa zake anakula zake Tambuu Tabata Mawenzi pale huku mambo yanaenda bam bam.
Sa manake kama na uendeshaji redio inategemea mood ya Kiba, mbona sasa itakuwa katuangusha sana!
Enewei muda bado unaongea!
Itakua labda ndo strategy za biashara, kumpoteza maboya adui asijue unapangga nn!
 
Sio Kwamba ilikuwa mbinu ya Kusaga kuendelea kupiga hela za Mama?

Maana Uchaguzi ni Mwakani tu hivyo atapata fursa ya kupiga hela za Kampeni kupitia media zake zote 6 sasa
Nakuelewa.
Lakiini sasa zote coverage zake ndo huku Daslam ambako ndo wataalam wa mambo ya wevs wamesema anazo frikwens zote.
Saaasa mbona dar sio wapiga kuraaa!
KuRA ZIKO KASUMBALESA huko, ama namna gani?
 
Redio ikizinduliwa si inabidi ianze hapo hapo?
Kusaga, the media mogul
Anaweza kufanya kweli hili kosa la kuweka fedha mahali ambako uzalishaji wake au uendeshaji wake unatakiwa utegemee Zabibu kama hajamuudhi kakake , kweli?
 
Unajua hii Nchi ukishakuwa na connection hakuna kinachoshindikana.

Wanaweza kuwaaminisha watoa fedha kwamba Vituo vyao vina viewers wengi DSM na Mikoa ya jirani.

Hivyo wakiongeza na za TV basi wanapata chochote kitu 😜

Nchi ngumu sana hii 🙌
 
Redio ikizinduliwa si inabidi ianze hapo hapo?
Kusaga, the media mogul
Anaweza kufanya kweli hili kosa la kuweka fedha mahali ambako uzalishaji wake au uendeshaji wake unatakiwa utegemee Zabibu kama hajamuudhi kakake , kweli?
Wewe jamani nimechekaaaaa. Lols
Hebu ngoja nifutari kwanza nifuatilie, nikipata za ndani nitawapea updates
 
Back
Top Bottom