Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Nazungumzia mkataba ambao diamond aliingia na Ziiki Media na kupewa $6 million ambapo mkataba huo ni wa 360, kwqmba kila pesa anayoingiza diamond na wao wana mgao wao ili kufidia hiyo pesa aliyopewa kwa dhamana ya master zake na za label nzima. Kwa kitaalamu mkataba wa aina hiyo ni mzuri mwanzoni ila ni utumwa fulani baadae kwa sababu kuilipa hiyo hela si mchezo hasa ukizingatia mauzo ya kazi zake kwenye digital platforms ni madogo sana kulinganisha na wasanii wa nigeria ambao kuwa na 100 million streams Spotify ni suala la kawaida sana.Si muongee kwa uwazi sote tuelewe jamani? Mbona mimi naandika kwa kirefu tu mnasoma vizuri.
Uko sahihi huo mkataba ngumu kweli, ndo Mana siku hizi ana toa collabo na wasanii wengine ili mpunga USI katweNazungumzia mkataba ambao diamond aliingia na Ziiki Media na kupewa $6 million ambapo mkataba huo ni wa 360, kwqmba kila pesa anayoingiza diamond na wao wana mgao wao ili kufidia hiyo pesa aliyopewa kwa dhamana ya master zake na za label nzima. Kwa kitaalamu mkataba wa aina hiyo ni mzuri mwanzoni ila ni utumwa fulani baadae kwa sababu kuilipa hiyo hela si mchezo hasa ukizingatia mauzo ya kazi zake kwenye digital platforms ni madogo sana kulinganisha na wasanii wa nigeria ambao kuwa na 100 million streams Spotify ni suala la kawaida sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas.Kuna habari JF ni za kusoma tu na kunyuti...
Naona kuna raia wanabishana kuhusu ishu za freq spectrum hadi wanatoleana vitenzi vikurupushi...
Ila watu jamani khaaaahHata kama umesoma Telecom engineering, Electronics, IT hapo CoET uwe unaelewa.
Hii imekaa kibiashara acha makelele yako tunajua umesoma electronics, wave, electromagnetism na mengineyo..PCM 5& 6 ila jaribu kuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora wasomi mlikuwepo aisee, hawa kina jumalokole wanatudanganya sana.
Cha ajabu naona karibia A-list nzima imeenda Ziiki Media na Africori huko South bila kujua implications za hiyo mikataba. Wakati wanigeria kama Mavin wamewekezewa na Venture capitalist(TPG Kupanda) na YBNL wameingia partnership na EMPiREUko sahihi huo mkataba ngumu kweli, ndo Mana siku hizi ana toa collabo na wasanii wengine ili mpunga USI katwe
Niffah Acha leo niingilie uzi wakoWewe jamani nimechekaaaaa. Lols
Hebu ngoja nifutari kwanza nifuatilie, nikipata za ndani nitawapea updates
Dah kazi kweli kweli, ila mavin SI imeuzwa karibia share zote kwa Sony??Cha ajabu naona karibia A-list nzima imeenda Ziiki Media na Africori huko South bila kujua implications za hiyo mikataba. Wakati wanigeria kama Mavin wamewekezewa na Venture capitalist(TPG Kupanda) na YBNL wameingia partnership na EMPiRE
Redio hiyo inamilikiwa na waziri mmmoja -----Okay, haya eleza kwa undani sasa.
Mmiliki ni nani? Na unaongelea redio aliyozindua Ali Kiba (Crown Fm)?
Ngoja nimtafute jamaa yangu, nitarudi.Redio hiyo inamilikiwa na waziri mmmoja -----
Hizo frequency aliuziwa na smbdy mohamed mwenye zanzibar cable,hyo hyo alimuzia pia frequency mwenye mjini fm
Hyo mohamed mwanzoni alikuwaga na furaha fm na TV huko zenji
Ingia deep mfatilie hyo mwenye zanzibar cable utamjuwa hasa ni nani na harakati zake zilivyo
Kwa hiyo redio hyo ni ya waziri mmoja tena sahv yuko hot kweli kweli ......na redio hyo ya crown sjui kings anayeisimamia ni smbdy isy........
Kusaga hana umiliki hapo kabisa
Ova
Urudi harakaNgoja nimtafute jamaa yangu, nitarudi.
Asante
Hapana, baada ya TPG Kupanda kuexit Mavin Global, Universal Music imenunua sehemu kubwa ya shares za Mavin baada ya Msanii Rema kufanya vizuri kwenye nyimbo zake hasa rekodi aliyoweka ya 1 billion streams za Spotify kupitia nyimbo ya Calm Down.Dah kazi kweli kweli, ila mavin SI imeuzwa karibia share zote kwa Sony??
Sema mi naona kama wata wapoteza hivi, maana hai majamaa style ya mziki wa kiafrika huwa Wana ibadilisha.Hapana, baada ya TPG Kupanda kuexit Mavin Global, Universal Music imenunua sehemu kubwa ya shares za Mavin baada ya Msanii Rema kufanya vizuri kwenye nyimbo zake hasa rekodi aliyoweka ya 1 billion streams za Spotify kupitia nyimbo ya Calm Down.
Tuambie kama ni kweli don fumbwe kafukuzwa wasafiTatizo tuko bize mno, hapa tu nina habari kibao tatizo muda ndio hakuna.
Hiya ndio nguvu ya pesa mkuu, ina uwezo wa kubadili muziki.Sema mi naona kama wata wapoteza hivi, maana hai majamaa style ya mziki wa kiafrika huwa Wana ibadilisha.