Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Nilivyomuelewa jamaa ni kwamba kuna watu tayari wameshazinunua hizo frequency toka TCRA kwahio ukitaka kuanzisha kituo chako, lazima ununue kwa watu ambao walishazinunua hizo frequency toka TCRA maana TCRA washauza kila frequency kwa hapa darHiyo Paragraph ya mwisho uwongo,Frequency ni mali ya TCRA yy ndiye anaye panga na kuengineer na ukitaka nenda pale TCRA Frequency bado wanazo na ukimzingua anakunyang'anya Frequency zake.
Nenda TCRA pale halafu uone kama utakosa frequency.Nilivyomuelewa jamaa ni kwamba kuna watu tayari wameshazinunua hizo frequency toka TCRA kwahio ukitaka kuanzisha kituo chako, lazima ununue kwa watu ambao walishazinunua hizo frequency toka TCRA maana TCRA washauza kila frequency kwa hapa dar
Hawezi fatwa kusaga kuhusu wasafi. Mtu pekee atafatwa ni juhayna mke wa kusaga don't undermine that. Yule ni kichwa kuliko kusaga. Remember that. Huu ni udaku. Au hao tra wako hawana la maana.Kusaga kwenye biashara hana rafiki wala adui, leo yupo na wewe (business partner) kesho anawekeza kwingine biashara hiyohiyo.
Akili kubwa ya biashara ile.
Wewe unalifahamu upande wa ubuyu,mimi na lifahamu upande wa Technical side.Na mimi nakwambia suala ninalolifahamu pia.
Anyways, kila mmoja abaki na lake.
Huyo twitter ndio inamfaa kule watu wanachukua kila kitu. Huku sawa ni muda mrefu analeta udaku safi. Ila habari za ukubwa huu. Asilete kama udaku. Hizoo watu tunafatilia kila sikuAchana na hiyo kenge jombaa.
Sasa wewe unaongelea habari za kusadikika mimi sipo huko, nilichoandika ndicho hasa kilichotokea.Hawezi fatwa kusaga kuhusu wasafi. Mtu pekee atafatwa ni juhayna mke wa kusaga don't undermine that. Yule ni kichwa kuliko kusaga. Remember that. Huu ni udaku. Au hao tra wako hawana la maana.
Ulivyoandika na tukio la jana tu ni vitu viwili tofauti. Bora ungesema kusaga anawekeza kwa diamond zaidi kuliko anavyowekeza kwa mkewe. Hujafatilia taarifa yako popote ulipoioata hata kama ww ni second hand wa diamond hapo umeferi boss.Unafikiri habari kama hii naamka tu asubuhi kuandika? Na kwani wakionekana pamoja kuna ubaya gani?
Ubuyu sio neno baya kwani hata yajayo mengi yanaanziaga kwenye ubuyu.Huu sio ubuyu lakini...
Kimetokea wapi, umesema hapokei simu. Jana walikutana kibahati mbaya?Sasa wewe unaongelea habari za kusadikika mimi sipo huko, nilichoandika nchicho hasa kilichotokea.
Acha nifatilie frequency za redio yangu wazuri hawafi fmNenda TCRA pale halafu uone kama utakosa frequency.
Humu JF kuna Vichaa wengi sana😂 ajui kitu anajifanya mjuaji msamehe bureWalugaluga kama wewe hamjawahi kukosekana. Frequency ni bidhaa adimu Dar, nenda wewe huko TCRA leo ukaulizie.
Sikulaumu kwakuwa hatujuani.Humu JF kuna Vichaa wengi sana😂 ajui kitu anajifanya mjuaji msamehe bure
Mbona sikuelewi? Mimi nimesema Diamond hapokei simu za Kusaga na sio haongei na Diamond.Ulivyoandika na tukio la jana tu ni vitu viwili tofauti. Bora ungesema kusaga anawekeza kwa diamond zaidi kuliko anavyowekeza kwa mkewe. Hujafatilia taarifa yako popote ulipoioata hata kama ww ni second hand wa diamond hapo umeferi boss.
Ficha upumbavu wako. FM frequency kila mji unapangiwa masafa (frequency moja tu) na FM ina Total 100 Stations kwa kila mkoa:Dada yangu hilo eneo ni field yangu japo sasa nafanya kitu kingine, ila ninacho kizungumza na kijua theoretical mpaka mathematical.Wewe kama unakubali kudanganywa ni ww,ila Frequency moja haziwezi kuisha wala kuwa mali ya mtu,anaye zimiplan,kuzicontrol,kuzimonitor,kuzimiliki na kuengineer ni TCRA.