Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pale EA RADIO hata aondoke nani, nitadumu kuwa msikilizaji wao.
Kuna vichwa mwanzo viliondoka bwana, achana na kina zembwela hawa.
Mwanzo mpaka nikawa nasema, nini hiki? Lakini mpaka leo EA RADIO wako imara.
DJ Mafuvu alipotoweka pale mjengoni, nikadhani pengo halitazibika, kumbe nilikuwa nadhani uongo, mpaka leo pengo lake limeshazibwa.
Haya, kuna yule dada aliyeko CLOUDS, nilidhani pengo lake halizibiki, lakini mpaka hapa pengo lake limezibwa, n.k n.k...
Ea Radio kile ni kiwanda, kila siku kinafyatua vichwa vipya.
Kwahiyo hao kina nani sijui wewe waache waende, lakini mimi na EA RADIO, Sijui aondoke nani pale ndipo niache kuisikiliza
mtu hanunuliwi tu, wananunua kutokana na uhitaji wa kipindi husika na ukubalikaji wa mtangazaji kwa wasikilizajiWakiweza kumnunua
Millardayo
Dazen
Geha habibu
Adamu mchomvu
Babra has an
Masoud Kp
Many bby
Gardiner
Hapo ndio nitaamini wametikisa industry
je wakati wa kina Bush babby, salama jabir ni sawa na sasa..?, kipindi kile kusikiliza EA Radio ilikuwa unajihisi fahari mikoani huko ilikuwa inashika kwenye madishi yale ya analogia, Ijumaa ikifika huikosiWaliondoka wakina bush baby,Sebo etc ndo watakua hawa chipukiz fc?
Yaani karahisi tu unatamba east africa kuanguka pengine mgeni wewe kile kituo achana nacho kitabaki milele na uibuaji wa vipaji clouds na mbwembwe zote east africa tv na radio vipo palepale hata aondoke nani ile station ni moto sana ina misingi yake haikuanza leo wala jana
East africa tv na radio vitabaki juu daima usiteme bigijiii kwa karanga za kuonjeshwa
Hivi unaonaje future ya Wasafi radio/tv siku diamond akiwa ameshuka kimuziki.?je wakati wa kina Bush babby, salama jabir ni sawa na sasa..?, kipindi kile kusikiliza EA Radio ilikuwa unajihisi fahari mikoani huko ilikuwa inashika kwenye madishi yale ya analogia, Ijumaa ikifika huikosi
ile ni taasisi mzee, Nyuma kuna watu wengi sana, Diamond kaanzisha ila kuna wataalamu wa media industry wako pale kusimamia kila kitu, Diamond na Wasafi ni vitu viwili tofauti, kuna jina na BrandHivi unaonaje future ya Wasafi radio/tv siku diamond akiwa ameshuka kimuziki.?
Waliondoka wakina bush baby,Sebo etc ndo watakua hawa chipukiz fc?
Wakiweza kumnunua
Millardayo
Dazen
Geha habibu
Adamu mchomvu
Babra has an
Masoud Kp
Many bby
Gardiner
Hapo ndio nitaamini wametikisa industry
Bush baby alirudi kwao Uganda nadhani ila Sebbo ni boss hapo EFM mkuu.Hivi sikuhizi wako wapi?
Wakiweza kumnunua
Millardayo
Dazen
Geha habibu
Adamu mchomvu
Babra has an
Masoud Kp
Many bby
Gardiner
Hapo ndio nitaamini wametikisa industry
Wewe unadhani kwenye media Tanzania kuna Kama ipp (eatv na radio,itv na radio one, capital tv na capital radio)!!!...hebu fikiria Azam, channel ten, Efm, clouds,wasafi wote Hawa wako wanakimbizana na ipp!!..mtasubiri sanaWakati unakuza vipaji biashara inakusubiri?
Kama ameamua kufanya biashara acha achanganye damu apige hela vipaji vitakuzwa na awa wazee aliochukua.
Wakati clouds inaanzishwa mlisema hivi,ikaja Efm maneno yale yale Sasa wasafi vile vileile ni taasisi mzee, Nyuma kuna watu wengi sana, Diamond kaanzisha ila kuna wataalamu wa media industry wako pale kusimamia kila kitu, Diamond na Wasafi ni vitu viwili tofauti, kuna jina na Brand