Wasafi Media na anguko la East Africa Radio

Eatv haiwezi kuanguka..wawachukue tu wanaowachukua.
 
Kwel kabsa jr jonior dulla palent wako vzur sna
 
Wakiweza kumnunua
Millardayo
Dazen
Geha habibu
Adamu mchomvu
Babra has an
Masoud Kp
Many bby
Gardiner
Hapo ndio nitaamini wametikisa industry
 
Wakiweza kumnunua
Millardayo
Dazen
Geha habibu
Adamu mchomvu
Babra has an
Masoud Kp
Many bby
Gardiner
Hapo ndio nitaamini wametikisa industry
mtu hanunuliwi tu, wananunua kutokana na uhitaji wa kipindi husika na ukubalikaji wa mtangazaji kwa wasikilizaji
 
Waliondoka wakina bush baby,Sebo etc ndo watakua hawa chipukiz fc?
je wakati wa kina Bush babby, salama jabir ni sawa na sasa..?, kipindi kile kusikiliza EA Radio ilikuwa unajihisi fahari mikoani huko ilikuwa inashika kwenye madishi yale ya analogia, Ijumaa ikifika huikosi
 
Kuna vijana wengi sana pale very talented sioni kama kile kituo kitatetereka kupndoka kwa Zembwela peke yake
 
je wakati wa kina Bush babby, salama jabir ni sawa na sasa..?, kipindi kile kusikiliza EA Radio ilikuwa unajihisi fahari mikoani huko ilikuwa inashika kwenye madishi yale ya analogia, Ijumaa ikifika huikosi
Hivi unaonaje future ya Wasafi radio/tv siku diamond akiwa ameshuka kimuziki.?
 
Hivi unaonaje future ya Wasafi radio/tv siku diamond akiwa ameshuka kimuziki.?
ile ni taasisi mzee, Nyuma kuna watu wengi sana, Diamond kaanzisha ila kuna wataalamu wa media industry wako pale kusimamia kila kitu, Diamond na Wasafi ni vitu viwili tofauti, kuna jina na Brand
 
Watangazaji wengi hawaondoki Clouds kwa kununuliwa. Wengi ni Loyal kwa Clouds maana wameachiwa platform ya kufanya biashara zao binafsi na kutumia Clouds kujipromote.

Nimejaribu sikiliza Wasafi Arena kiukweli matarajio sio. Ngoja tuwape muda
Wakiweza kumnunua
Millardayo
Dazen
Geha habibu
Adamu mchomvu
Babra has an
Masoud Kp
Many bby
Gardiner
Hapo ndio nitaamini wametikisa industry
 
Tanzania vichaa ni wengi, kwani imeandikwa wapi kuwa mtu lazima afanye kazi sehemu moja milele, ata ajira ya permanent unaruhusiwa kuacha na kuhama.


Acheni wivu wa kimama komaeni na hali zenu ata wakihamia uko wote wanatafuta pesa tuu na sio majina, kama ni jina ndo pesa basi raisi angekuwa bilionea maana ata mtoto mdogo anamjua.

Ndo maana harmonize kamua kuhama nae sio kwamba ndo angefia WCB pale ni daraja tuu ukiona umetosheka unasepa wengine wanaenda wengine
 
Hao uliowataja wote mbona bosi wao ndio mmiliki wa Wasafi pia?

Vv
Wakiweza kumnunua
Millardayo
Dazen
Geha habibu
Adamu mchomvu
Babra has an
Masoud Kp
Many bby
Gardiner
Hapo ndio nitaamini wametikisa industry
 
Wakati unakuza vipaji biashara inakusubiri?
Kama ameamua kufanya biashara acha achanganye damu apige hela vipaji vitakuzwa na awa wazee aliochukua.
Wewe unadhani kwenye media Tanzania kuna Kama ipp (eatv na radio,itv na radio one, capital tv na capital radio)!!!...hebu fikiria Azam, channel ten, Efm, clouds,wasafi wote Hawa wako wanakimbizana na ipp!!..mtasubiri sana
 
ile ni taasisi mzee, Nyuma kuna watu wengi sana, Diamond kaanzisha ila kuna wataalamu wa media industry wako pale kusimamia kila kitu, Diamond na Wasafi ni vitu viwili tofauti, kuna jina na Brand
Wakati clouds inaanzishwa mlisema hivi,ikaja Efm maneno yale yale Sasa wasafi vile vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…