Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hello JF
Kila mtu ali anticipate itakua show kubwa....sijui kwa ajili ya promotion/uncertainity ya uchumba kati ya Zuchu na Diamond, tukabaki macho kodooo kusubiria hii show...
ilikua nzuri isipokua ilikua hamna mashamushamu....Mimi kwa upande wangu nadhani hawakuwa na sound system nzuri, Yaani hata microphones zenyewe sidhani kama waliokaa nyuma walikua wanasikia, Waandaaji next time mu-invest kwenye sound system,
Hizi ni kazi za watu proffessional, Event Engneer mmliyemuajiri,alikua VIZURI SANA kwenye lighting na mapambo, ila sound imemuangusha kwa kweli..... Next time mnaweza kufanya kazi on sound system,...
Mimi ndio nimeiona kasoro hio..wengine watachangia....