Wasafi sound system iliwaangusha usiku wa mahaba ndi ndi ndi

Wasafi sound system iliwaangusha usiku wa mahaba ndi ndi ndi

Hello JF

Kila mtu ali anticipate itakua show kubwa....sijui kwa ajili ya promotion/uncertainity ya uchumba kati ya Zuchu na Diamond, tukabaki macho kodooo kusubiria hii show...

ilikua nzuri isipokua ilikua hamna mashamushamu....

Mimi kwa upande wangu nadhani hawakuwa na sound system nzuri,

Yaani hata microphones zenyewe sidhani kama waliokaa nyuma walikua wanasikia,

Waandaaji next time mu-invest kwenye sound system,

hizi ni kazi za watu proffessional,

Event Engneer mmliyemuajiri,alikua VIZURI SANA kwenye lighting na mapambo, ila sound imemuangusha kwa kweli.....

Next time mnaweza kufanya kazi on sound system,...

Mimi ndio nimeiona kasoro hio..wengine watachangia....
Unajua kwenye event za wenzetu huwa utasikia wanawashukuru sound engineers, electrical engineers.. technical directors n.k

Sasa hawa jamaa nahisi walimchukua sound engineer wa vigodoro aje kufunga mziki kwenye show Yao[emoji23][emoji23][emoji23]

Haiwezekani hata Mic za back vocal hazikuwa balanced wala nin.. na watu wamelipa pesa zao, vitu kama hivi vinafanya mziki wetu udharauliwe aisee.

Upande wa mapambo walikuwa vizuri.. Ila kwenye sound wamezingua kuna back vocal mmoja alivyoona anasikika na sauti lake kama chura akawa anakomaa mpaka Zuchu hasikiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Show ilikuwa ya ajabu kweli , nikaona huu ni upuuzi ngoja nilale zangu tu .
 
Unajua kwenye event za wenzetu huwa utasikia wanawashukuru sound engineers, electrical engineers.. technical directors n.k

Sasa hawa jamaa nahisi walimchukua sound engineer wa vigodoro aje kufunga mziki kwenye show Yao[emoji23][emoji23][emoji23]

Haiwezekani hata Mic za back vocal hazikuwa balanced wala nin.. na watu wamelipa pesa zao, vitu kama hivi vinafanya mziki wetu udharauliwe aisee.

Upande wa mapambo walikuwa vizuri.. Ila kwenye sound wamezingua kuna back vocal mmoja alivyoona anasikika na sauti lake kama chura akawa anakomaa mpaka Zuchu hasikiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kwenye muziki wa injili ni level nyingine kabisa ni kweli pengine uko ndiko kuna wataalam wengi sana hiyo ya Semfukwe nimeshawai kuangalia na pia ule wimbo wa chanzo ..ni hatari na nusu lakini lazima tukubali hawa waimbaji wa injili wanaujua vizuri muziki wa live maana unapata thamani ya show kweli kweli....
 
Sasa huo wa injili watu hawatoi pesa.. lakini unapata kitu quality, hawa jamaa wanafeli wapi?..
 
Mkuu upande wa waimbaji na waandaaji wa nyimbo za injili wako vizuri katika sound za live.

Nenda youtube tafuta wimbo unaitwa NDIO wa Rehema Semfukwe. Urudu kutoa ushuhuda hapa.

Event ilikuwa live na uone watu kazi wanazofanya.

Pia angalia Shangilia by Essence of Worship

Zote hizi zimefanyika Tanzania tena mwaka 2021. Ukihitaji hata za nyuma zaidi naweza kukutajia.

Angalia rudi kutupa mrejesho wa ubora wa kazi.
Kwakweli upande wetu gospel tuko vzr[emoji126][emoji126]
 
Hello JF

Kila mtu ali anticipate itakua show kubwa....sijui kwa ajili ya promotion/uncertainity ya uchumba kati ya Zuchu na Diamond, tukabaki macho kodooo kusubiria hii show...

ilikua nzuri isipokua ilikua hamna mashamushamu....Mimi kwa upande wangu nadhani hawakuwa na sound system nzuri, Yaani hata microphones zenyewe sidhani kama waliokaa nyuma walikua wanasikia, Waandaaji next time mu-invest kwenye sound system,

Hizi ni kazi za watu proffessional, Event Engneer mmliyemuajiri,alikua VIZURI SANA kwenye lighting na mapambo, ila sound imemuangusha kwa kweli..... Next time mnaweza kufanya kazi on sound system,...

Mimi ndio nimeiona kasoro hio..wengine watachangia....
Ni kweli kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nazani ni vyema ukawaambia ni wapi kunapatikana sound system bora wakanunue uko,kuliko kupiga domo humu uku ukiwa ujui ubora wa sound
 
Back
Top Bottom