Wasafi sound system iliwaangusha usiku wa mahaba ndi ndi ndi

Mkuu upande wa waimbaji na waandaaji wa nyimbo za injili wako vizuri katika sound za live.

Nenda youtube tafuta wimbo unaitwa NDIO wa Rehema Semfukwe. Urudu kutoa ushuhuda hapa.

Event ilikuwa live na uone watu kazi wanazofanya.


Pia angalia Shangilia by Essence of Worship

Zote hizi zimefanyika Tanzania tena mwaka 2021. Ukihitaji hata za nyuma zaidi naweza kukutajia.

Angalia rudi kutupa mrejesho wa ubora wa kazi.
 
Ukiachana tamasha la Tusker lilo fanyikaga leaders, hakujawahi kutokea show ambayo ilifanya vizuri upande wa Sound.

Kuna baadhi ya vitu tuna vichukulia poa ila bongo hamna Masound Engineer waliobobea.
Show ya Fally Ipupa chini ya Club E pale ukunbi wa sinema karibu na kituo cha daladala ITV miaka kadhaa ilopita ile sound ilikua safi sana
 
Ni kweli kabisa. Mimi niliwahi kuwaangalia hao essence of worship ila sio wimbo huo kama sikosei unaitwa nikujue au nikuabudu, wako vizuri sana.
 
Hakunaga kitu kinachonikera kama msanii kuimba kwa lisauti libaya

Nasema hv tatzo sio sound system,ni msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…