Wasafi sound system iliwaangusha usiku wa mahaba ndi ndi ndi

Unajua kwenye event za wenzetu huwa utasikia wanawashukuru sound engineers, electrical engineers.. technical directors n.k

Sasa hawa jamaa nahisi walimchukua sound engineer wa vigodoro aje kufunga mziki kwenye show Yao[emoji23][emoji23][emoji23]

Haiwezekani hata Mic za back vocal hazikuwa balanced wala nin.. na watu wamelipa pesa zao, vitu kama hivi vinafanya mziki wetu udharauliwe aisee.

Upande wa mapambo walikuwa vizuri.. Ila kwenye sound wamezingua kuna back vocal mmoja alivyoona anasikika na sauti lake kama chura akawa anakomaa mpaka Zuchu hasikiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Show ilikuwa ya ajabu kweli , nikaona huu ni upuuzi ngoja nilale zangu tu .
 

Mkuu kwenye muziki wa injili ni level nyingine kabisa ni kweli pengine uko ndiko kuna wataalam wengi sana hiyo ya Semfukwe nimeshawai kuangalia na pia ule wimbo wa chanzo ..ni hatari na nusu lakini lazima tukubali hawa waimbaji wa injili wanaujua vizuri muziki wa live maana unapata thamani ya show kweli kweli....
 
Sasa huo wa injili watu hawatoi pesa.. lakini unapata kitu quality, hawa jamaa wanafeli wapi?..
 
Kwakweli upande wetu gospel tuko vzr[emoji126][emoji126]
 
Ni kweli kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nazani ni vyema ukawaambia ni wapi kunapatikana sound system bora wakanunue uko,kuliko kupiga domo humu uku ukiwa ujui ubora wa sound
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…