Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Huyo ndiye mke wa Kusaga aitwae Juhayna Zaghalulu Ajmy anayemiliki 53% ya hisa za Wasafi.

Hebu wewe tutajie hapa Diamond anamiliki % ngapi ya hisa hapo wasafi na sisi tuweke walichokisema TCRA khs wamiliki wa wasafi.

Msalimie Dada ako Mange.
 
sasa kwani Mimi nikisema kuwa diamond platinumz anamiliki hisa 57% nimekosea[emoji1787][emoji1787][emoji1787],mfuate mange kimambi wako NO WASAFIMEDIA NO DIAMOND PLATINUMZ.
 
Tigo wao wana angalia biashara,wanagalia wapi wakiweka brand yao itaonekana na wengi,hawanaga team bali wanapo angalia Number ndipo wanaweka mzigo wao.
 
Niseme uongo hapa.. katika swala la ubunifu clouds wako mbali Sana... Wasafi wanajua na ndo maana Mambo yao yote wanataka kuwa sawa na clouds medias
Itawachukua miaka 100 hao wachafu kuikuta clouds media group
 
Nahisi clouds ni ya family ya kusaga ila kule wasafi Kusaga na Mkewe wanatengeneza empire yao in case Joe hayupo, Sheba kusaga asimzingue wifi yake na watoto.
how sure are you...? maana hamtaki kukubali kuwa Diamond platinumz anamiliki WASAFIMEDIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…