mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Huyo ndiye mke wa Kusaga aitwae Juhayna Zaghalulu Ajmy anayemiliki 53% ya hisa za Wasafi.tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Hebu wewe tutajie hapa Diamond anamiliki % ngapi ya hisa hapo wasafi na sisi tuweke walichokisema TCRA khs wamiliki wa wasafi.
Msalimie Dada ako Mange.