Biashara huui mwenyewe bro! Au huui kwa kupenda!!Kwahio Kusaga ataua biashara yake 1 na kuinua biashara yake 1 nyingine sio?
Daah kweli aisee,Kusaga ni hatari sana arifuBiashara huui mwenyewe bro! Au huui kwa kupenda!!
Upepo unaelekea Wasafi media kwa sasa na hii sio kwa amri yake ni Mungu tu!
So endapo Wasafi inafanikiwa na Clouds inafifia hatusemi kuwa Joe ndie anaua moja na kukuza nyingine!
Kubali kuwa Mondi ni nyota ing'aayo mno wakati huu hivyo kama Jose katia hela Wasafi "kama unavyofosi" hiyo haibadilishi kuwa Mondi ni nouma!! Mondi ni amefanikiwa sana kama kijana mdogo kabisa!!
Ni kubwa sana hio na imemfanya yeye kua Don a.k.a boss kitambi meneja.Ko wewe unaona 43 ni ndogo
Boss ni yule mwenye 43% na ambae ana-fall kwny NCI(Non-controlling Interest),hahah.Hivi mwenye Hisa na Mwenye Brand nani sasa boss? Huyo kusaga kama hisa ndo kila kitu basi akafungue Kondegang fm uone...hisa mbele ya brand haifui dafu...sjui kwann hamtaki kukubali...
Diamond hapo anamiliki hisa na anamiliki brand so nani boss hapo[emoji3]
Anaropoka tu hajuw kitu [emoji23][emoji23][emoji23]'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'
Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?
Kusaga ni kichwa sana arifu.
"Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.Mnachotakiwa kujua ni kwamba,bila brand ya WASAFI ambayo kimsingi ni ya diamond platinumz hakuna WASAFI TV wala WASAFI FM, kufanikiwa kwa hiyo media wala si swala la pesa. Leo hii Diamond akisema atoe hizo hisa zake ambazo nyinyi mnaziona ni ndogo pamoja na brand yake alafu akae kando, WASAFI MEDIA inaanguka ndani ya muda mchache tu [emoji23](Mnafikiri kuanzisha redio ni pesa tu[emoji848])
Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.Kwahiyo chukua Hisa anazo miliki Mond pale Wasafi media + Brand yake= MOND NDIO MKUBWA PALE WASFI MEDIA.Kama kweli ni swala la pesa na akili za Kusaga,mbona clouds inamfia mkononi mwake?[emoji23]
NB:Ukuaji wa kasi wa WASAFI media kwa asilimia 50%unategemea brand na mashabiki aliyojitengenezea Mond. Ndiomaana hata nyinyi mnaoiponda WASAIFI hamuwezi kuwa mashabiki wa Mond.
Basi apewe heshima yake uyu kijanaNi kubwa sana hio na imemfanya yeye kua Don a.k.a boss kitambi meneja.
Boss wa zote 2 ni umojaNi kweli kabisa. Wasafi imeshaizika Clouds rasmi. Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha. Yaani kuna kipindi sikujua kama Clouds nayo itapotezwa. Ila kifo cha Ruge nacho kimechangia pakubwa.
King of porno labdatatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Si ni mmiliki wa Wasafi mkuu?Heshima yake tayari amepewa mzee baba.Basi apewe heshima yake uyu kijana
Hata angemiliki 1% ni mwanahisa,kwahiyo 47% ya nani kama jose anamiliki 53%53% ya hisa za wasafi unajua zinamilikiwa na nani?
Daaah hizo 43% ni nyingi sana mimi nlijua anamiliki chini ya hapo,halafu kuna mwingine anamiliki 2%...pia naona kuna 2% haijawekwa hapo ili ziwe 100% hisa zote57% unadhani ni mavi hayo?
Mtu unaweza bishana mpk na TCRA.?
Ukimaliza hapo Google huyo Juhayna Zaghalulu Ajmy ni nani.View attachment 1633749View attachment 1633750
sawa hamisa mobetto
huko tumewaachia tandahimba fm na tv[emoji23][emoji23][emoji23]
Subirieni KUNDU BOY FM.
Kuna jamaa anaitwa Ali Katibu Dai ndio anamiliki hizo 2%.Daaah hizo 43% ni nyingi sana mimi nlijua anamiliki chini ya hapo,halafu kuna mwingine anamiliki 2%...pia naona kuna 2% haijawekwa hapo ili ziwe 100% hisa zote
Ungejua maana ya Controlling Interest(CI) vs Non Controlling Interest(NCI) ungejua ni kwanini wababe hua wanakimbilia kumiliki 51%+ na sio chini ya hapo.Hata angemiliki 1% ni mwanahisa,kwahiyo 47% ya nani kama jose anamiliki 53%