Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Boss ni yule mwenye 43% na ambae ana-fall kwny NCI(Non-controlling Interest),hahah.
boss ni yule mwenye 43% afu ana-fall kwenyeBI(Branding interest), ahaaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23],si mwingine Bali ni diamond platinumz the great
 
"Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.

Hahah hesabu za hisa zingekua hovyo hivi mambo yangekua rahisi sana,ukute haujui hata maana ya mtu kumiliki hisa 51%+
wewe ndo haujui[emoji23][emoji23][emoji23],usizanie hapa unaongea na MBUGIRA wenzako, yaani hapa unaongea na M. O. B wa wasafi pamoja na B. D wa BRELA ko haufurukuti DIAMOND BABA YAKO
 
Ungejua maana ya Controlling Interest(CI) vs Non Controlling Interest(NCI) ungejua ni kwanini wababe hua wanakimbilia kumiliki 51%+ na sio chini ya hapo.
ungejua maana ya BRANDING INTEREST vs NON-BRANDING INTEREST USINGEPINGA DIAMOND PLATINUMZ THE SUPER KUWA NDO MMILIKI WA WASAFI MEDIA.
 
Wabongo wakidiscuss mambo kwa IQ ya level za chini kabisa..

JF ni moja ya mitandao ambao watu wanatumia low reasoning, na wengi hawataki kujifunza wasilolijua.

Kuna mitandao ya nje unashangaa jinsi watu wanavyoheshimu taaluma, wana argue kwa kujifunza.

Sisi ni full upopoma.
 
'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'

Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?

Kusaga ni kichwa sana arifu.
Anaweza kubisha hadi asubuhi watu wanashabukia vitu wasivyovijua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…