mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hakika na ni bibi yako pia.tuseme ni mkeo Basi Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika na ni bibi yako pia.tuseme ni mkeo Basi Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndo wakome kuwanyonya wasanii, mkombozi wao WASAFIMEDIA KAJANaona hii itakuwa imechochewa na kuondoka Duniani kwa bwana Rugemalira mutahaba
pumbavu diamond platinumz anamiliki asilimia 47 na brand juuZote Mali za kusaga diamond anamilik asilimia 25 ya hisa wasafi kwahy hakuna kilichoharibika
boss ni yule mwenye 43% afu ana-fall kwenyeBI(Branding interest), ahaaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23],si mwingine Bali ni diamond platinumz the greatBoss ni yule mwenye 43% na ambae ana-fall kwny NCI(Non-controlling Interest),hahah.
sawa james deliciousSawa juma lokole
pumbavuAnaropoka tu hajuw kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika mboforo kwa kotapin ni BI ya kubuni.boss ni yule mwenye 43% afu ana-fall kwenyeBI(Branding interest), ahaaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23],si mwingine Bali ni diamond platinumz the great
wewe ndo haujui[emoji23][emoji23][emoji23],usizanie hapa unaongea na MBUGIRA wenzako, yaani hapa unaongea na M. O. B wa wasafi pamoja na B. D wa BRELA ko haufurukuti DIAMOND BABA YAKO"Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.
Hahah hesabu za hisa zingekua hovyo hivi mambo yangekua rahisi sana,ukute haujui hata maana ya mtu kumiliki hisa 51%+
umoja au mmoja , pumbavu kajifunze kuandika kwanzaBoss wa zote 2 ni umoja
DIAMOND PLATINUMZ THE SUPER KING OF TANZANIA MUSIC , VERY GREATIVE AND GENIUS AND G. O. A. TKing of porno labda
umeanza kuwa na akili kumbeSi ni mmiliki wa Wasafi mkuu?Heshima yake tayari amepewa mzee baba.
ungejua maana ya BRANDING INTEREST vs NON-BRANDING INTEREST USINGEPINGA DIAMOND PLATINUMZ THE SUPER KUWA NDO MMILIKI WA WASAFI MEDIA.Ungejua maana ya Controlling Interest(CI) vs Non Controlling Interest(NCI) ungejua ni kwanini wababe hua wanakimbilia kumiliki 51%+ na sio chini ya hapo.
'Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa'
Hahah unajua maana ya Controlling Interest lkn?
Bora kukaza Kota pin, kuliko tako nipBora kukaza ubungo kuliko kukaza kota pin.
factNaelewa mwenye hisa nyingi ndio mwenye nguvu,ila hizo 43% zinamtosha,jamaa amepiga hatua akiwa na umri mdogo
hakika na ni Bibi yako square [emoji3514]Hakika na ni bibi yako pia.
hakika mborofo kwa Tako nip ni CI ya kubuni.Hakika mboforo kwa kotapin ni BI ya kubuni.
Wabongo wakidiscuss mambo kwa IQ ya level za chini kabisa..
Anaweza kubisha hadi asubuhi watu wanashabukia vitu wasivyovijua kabisa.'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'
Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?
Kusaga ni kichwa sana arifu.
huyo mke wakusaga anahisa wasafi tv tuu lakin wasafi media (tv na radio) mwenye hisa nying ni diamond53% ya hisa za wasafi unajua zinamilikiwa na nani?