Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

"Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.

Hahah hesabu za hisa zingekua hovyo hivi mambo yangekua rahisi sana,ukute haujui hata maana ya mtu kumiliki hisa 51%+
Hujui biashara wewe.Kiufupi hela bila brand ya Wasafi hakuna mafanikio yoyote. Hizo hisa 10% anazozidiwa diamond haziwezi lingana na brand ya WASAFI ambayo kimsingi ndio uti wa mgongo wa hiyo media.Ndiomaana Mond ataendelea kuonekana mkubwa, kuliko hao walioweka fedha nyingi.

NB:Huwezi elewa kama hauna ujuzi wowote wa kibiashara
 
Huyu ndo wameanza naye maisha au ni juu kwa juu tu?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

'Hizo hisa 10% anazozidiwa diamond haziwezi lingana na brand ya WASAFI'.

Kwa hio kwny Balance Sheet ya Wasafi, brand(Asset) imekua valued ni Sh. Ngapi?hahah kukimbia shule shida zake ndio kama hivi sasa.
 
'Hizo hisa 10% anazozidiwa diamond haziwezi lingana na brand ya WASAFI'.

Kwa hio kwny Balance Sheet ya Wasafi, brand(Asset) imekua valued ni Sh. Ngapi?hahah kukimbia shule shida zake ndio kama hivi sasa.
Nimekupuuza rasimi Kwakua,huna lolote unalolijua kuhusu biashara, na elimu yako ni ya kwenye makaratasi na haijakusaidia chochote.

Ninachokiona kwako ni maumivu ya roho baada ya Togo fiesta kufail, na Sasa inatafuta sababu za kuishabikia WASAFI MEDIA, kwa kujifariji kwamba mmiliki wa Clouds ndo yuleyule wa WASAFI MEDIA.

DIAMOND ATAWAPASUA VIFUA😂😂
 
Waambie waazishe KUSAGA FM tuone watafika wapi,kama pesa ni kila kitu[emoji23],maana hata hiyo Clouds kufika hapo ni akili za Ruge.
Hakika wala hujakosea,hata ITV kufika pale ni akili za Joyce Mhaville.,hahah.

Soon itabidi aanzishe Mhaville Media,hahah.
 
Hamilik hisa za Wasafi, anamilik hisa za Wasafi TV.. key point, "TV"
 
Kusaga alisema walidumu nae kwny uchumba for 10 yrs then ndio ndoa ikafuata,so hapo ni tangu Kusaga anapiga music kwny ma-disco mpk amefikia hapo alipo.
Unataka kutudanganya kwamba utajiri wa huyo mama ni wa KUSAGA au🤔?KUSAGA kamkuta huyo mama akiwa na utajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…