Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hujui biashara wewe.Kiufupi hela bila brand ya Wasafi hakuna mafanikio yoyote. Hizo hisa 10% anazozidiwa diamond haziwezi lingana na brand ya WASAFI ambayo kimsingi ndio uti wa mgongo wa hiyo media.Ndiomaana Mond ataendelea kuonekana mkubwa, kuliko hao walioweka fedha nyingi."Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.
Hahah hesabu za hisa zingekua hovyo hivi mambo yangekua rahisi sana,ukute haujui hata maana ya mtu kumiliki hisa 51%+
NB:Huwezi elewa kama hauna ujuzi wowote wa kibiashara