Wasafi TV inatakiwa wajitafakari upya

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,335
Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa wasafi tv ni mojawapo ya vituo ambavyo vinaongoza kufungiwa au kupewa maonyo na TCRA.

Hawa jamaa huwa hawazingatii kabisa misingi ya urushaji matangazo na ndiyo maana maonyo yamekuwa mengi sana.

Nina imani kama kusingekuwa na watu wazito kwenye hii TV basi ingeshafungiwaga muda tu.

Hawa watangazaji wana weledi kweli wakufanya hii kazi?

 
Watafungiwa sababu ipi ? Mpaka hapo sioni sababu ya TCRA kuwafungia.

Halafu katika radio zote ukiondoa TBC watangazaji wote ungaunga mwana njoo ukae, talent kwanza shule badae.
 
Watafungiwa sababu ipi ? Mpaka hapo sioni sababu ya TCRA kuwafungia.

Halafu katika radio zote ukiondoa TBC watangazaji wote ungaunga mwana njoo ukae, talent kwanza shule badae.
[emoji848][emoji848]
 
“Anakutomba huyo”-Zuchu

Zuchu Said that on aired program
Duuu Tafsidaless..... kweli haki yao kuchezea nyundo. Hizi radio kama hawawezi kuajiri watangazaji wenye uweledi, waajiri basi hata wahariri wa hivyo vipindi.
 
Kama kipindi cha kurasa za magazeti akiwepo Zembwela ndio vurugu mara waingie na mapanga, visu na mkuki eti wanasoma magazeti, sijui hivyo vitu vina uhusiano gani ni kipindi cha redioni.
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…