Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaan Zuchu hata akatae vp sio wote watoto wenzie kama anavyodhanZuchu alitukana wazi lazima akubali ....Wakazi ni mjinga mjinga anafikiri kwenye kupinga pinga tuuu....
Zuchu alikuwa anaelezea jinsi ambavyo watu walidhani anaandikiwa nyimbo na wakamtaja mtu hadi kufikia kusema “Anakutomba”
Katukana wapi? Ukiina mpaka kapost jua yy mwenyewe kajilizisha haina matatizo.
View attachment 2082795
Mimi kwanza mara ya kwanza nilitaka ushahidi humu, baadae jioni nikaona thread jukwaa la hoja na komenti za wadau nikaona haina haja ya kwenda kutizama video. Leo nilipoona post ya Wakazi nikasema ngoja nijilizishe nami nikasikia "MTAMBO".Kwani wewe uwezi fikiri nje ya wakazi huyo ina maana wewe huna masikio au mpaka wakazi asikie ndio usikie... hapa naona kama unajribu kusafisha kinyesi!
Hivi kama umesikiliza hicho kipande hilo neno mtambo linakaa wapi hebu jaribu kuliweka tuone ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa mtu kama wakazi ndio reference kuwa Zuchu ajatukana?
masikio yako yako na shida muone daktar wa masikio mapemaMimi kwanza mara ya kwanza nilitaka ushahidi humu, baadae jioni nikaona thread jukwaa la hoja na komenti za wadau nikaona haina haja ya kwenda kutizama video. Leo nilipoona post ya Wakazi nikasema ngoja nijilizishe nami nikasikia "MTAMBO".
Niliweke vip hilo neno? au labda ww hilo neno unalolifikia unaliweka weka vipi nami niliweke hili la "Mtambo....."