Wasafi TV inatakiwa wajitafakari upya

Zuchu anatufanya wote ni watoto dah;

Msanii Zuchu katika utetezi wake mbele ya Kamati ya Maudhui ya TCRA alisema hakufungua mdomo vizuri na kwa lafudhi yake ya Kizanzibari akatamkta neno 'mtambo' vibaya na kumaanisha tafsri yenye matusi.

Kipindi cha Refresh cha Wasafi TV kimewekwa chini ya ungalizi kwa miezi 3
 
kwa hiyo unataka sema hakuna namna [emoji848][emoji848]
Heee!!kipindi ambacho kiko live mtu ametamka tusi unalikataje hapo?ingekuwa ni recorded sawa, huwa kuna namna wanalizuia lisisikike!!
Kwa live hakuna namna!!mala nyingi huwa ni mtangazaji kuomba radhi hapo hapo, na kumueleza mzunguzaji atumie lugha yenye staha!!lakini hapo tayari kombola lilishatua!!
 
hata yule mtangazani hakushituka yaaan kama neno la kawaida halafu kama wapo peke yao vile
 
WASAFI ni team CCM au CDM? 😳
 
Mara ya mwisho ulisikia lini EATV/Radio wamefungiwa au kupigwa fine na Tcra?
 
Radio Tanzania wapo tangu miaka ya 60, wanaenda live na hawajawahi kufanya huu ujinga.

Sasa hawa wa juzi sioni hata wanahitaji kujitetea na kuaminiwa...waadhibiwe tu, na tena kama inawezekana wazuiliwe vipindi kuruka live.
Na Radio 1 kwny private radios usiisahau, miaka mingi iko na haijawahi kufungiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…