Wasafi TV inatakiwa wajitafakari upya

WTF!!

What was she trying to say?!

Ila kilichonishangaza ni kusikia hiki kipindi kilirushwa March 2021... TCRA walikuwa wapi muda wote huu?! Au walikuwa kwenye COVID-19 Break?!
TCRA wamechemka.
 
MNH!

Nimerudia tena na tena kuisikiliza hiyo clip...

Bado Zuchu hajanishawishi, ingawaje kwa haiba ya Zuchu, badala ya kujiuliza "alikuwa anajaribu kusema nini hasa" labda nijiulize alikuwa anafikiria nini kichwani mwake!!

Hilo neno MTAMBO hapo haliingii... I wish ningeona clip ndefu zaidi!!

Nasema haliingii kwa sababu ameanza na "una..."! Sasa "wewe una mtambo wewe..." mbona hai-make any sense?!

Na hata ukiichunguza tone na body language, bado havi-match kabisa na neno "una mtambo"

What was she thinking?!
 
Kumbe mtambo na anakutombah Ni maneno yanayofanana kwa huko Zenji?

Nimefahamu Sasa.
May labda kila mtu ana sensitivity yake ya kusikia, mimi jana nilisoma comment za watu sikutizama clip, ila kupitia comment ya wakazi nikaenda kuisikiliza tena.
 
Yeye kasema "Mtambo.......",TCRA "wamesikia vingine......".
 
kwa sababu yeye ni mtoto basi wote anajua ni watoto shenzi zake
 
Kama kipindi cha kurasa za magazeti akiwepo Zembwela ndio vurugu mara waingie na mapanga, visu na mkuki eti wanasoma magazeti, sijui hivyo vitu vina uhusiano gani ni kipindi cha redioni.
Kitengee kawaharibu wenzie
 
anazingua huyu anatufanya wote watoto ujue
Zuchu azingue, vp Wakazi nae anazingua........?

Halafu why msimamizi wa maadili kipindi kimeruka 2021,leo ndipo ukitolee maamuzi, huu si udhaifu mkubwa sana kwa TCRA.
 
Zuchu azingue, vp Wakazi nae anazingua........?

Halafu why msimamizi wa maadili kipindi kimeruka 2021,leo ndipo ukitolee maamuzi, huu si udhaifu mkubwa sana kwa TCRA.
itakuwa kuna mtu kaenda kulalama huko walikuwa wanataka kuipiga kimya au wasaf walitoa mpunga ishu ikabid ipigwe kimya
 
itakuwa kuna mtu kaenda kulalama huko walikuwa wanataka kuipiga kimya au wasaf walitoa mpunga ishu ikabid ipigwe kimya
Unaleta assumption (...itakuwa....) ..... watoe mpunga upi wakati hawana kosa.
 
ok naomba kujua kuna ile unakuta kama anayehojiwa anatoa matusi wanapiga kialarm flan hv hii nayo huwezi fanya kwenye live show??
Hiyo ina kuwa ni recorded, yaani wanamhoji mgeni, ili badaye ndio wakirushe hewani sasa kunapokuwa na lugha isiyo faa ndio huweka hicho ki kingere, ili kuipotezea!!wewe jaribu tu hapo uko mbele za watu polomosha bonge la tusi uone je, kama ungekuwa studio, wangeliepusha vipi!?hahaaa
ok naomba kujua kuna ile unakuta kama anayehojiwa anatoa matusi wanapiga kialarm flan hv hii nayo huwezi fanya kwenye live show??
 
Ok
 
Zuchu azingue, vp Wakazi nae anazingua........?

Halafu why msimamizi wa maadili kipindi kimeruka 2021,leo ndipo ukitolee maamuzi, huu si udhaifu mkubwa sana kwa TCRA.

Zuchu mwenyewe ndio ameyataka haya mambo yalisha sahaulika lakini kwa kuwasha kwake akapost kukanusha kuwa alitukana lakini akaweka clip inyo onesha na kusikika ametukana na ata ikiweka neno analosema alilsema wala hakuna muunganiko kabisa

Sasa baada ya kuweka comments nyingi zikawa zinapingana nae uku wakiwatag TCRA na kwa uzembe wa Wasafi media bado content ya matusi walikuwa waneiacha youtube

Hivyo TCRA wakapokea wito na kuchukua hatua!

Hata hivyo wasafi media bado hawana watu makini wakuongoza vipindi wamekuwa na makosa mengi sana tena sana
 
Zuchu alitukana wazi lazima akubali ....Wakazi ni mjinga mjinga anafikiri kwenye kupinga pinga tuuu....

Zuchu alikuwa anaelezea jinsi ambavyo watu walidhani anaandikiwa nyimbo na wakamtaja mtu hadi kufikia kusema “Anakutomba”
 
Katukana wapi? Ukiina mpaka kapost jua yy mwenyewe kajilizisha haina matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…