Huu unaitwa utani wa ngumi mkuuZitto kabwe na halima mdee wapewe kipindi cha taarabu asilia
unamjua rick ross kama ndiyo taja wasanii wangapi wameimba naye hapa africa.....Haa haa Media za tz tu ndo
Mnampa paromo aende eupo
Awike kama hapa tz
Hilo Chama ni la Kusaga.Mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa WCB.
Mapendekezo yangu
Kipindi Cha muziki wa kisasa akae Sky walker
Mambo ya uswahilini akae mzee wa ngenga
Michezo amchukue Masau Bwile
Linex anafaa ana bonge la talent ya utangazaji
Dr shika vipindi vya uchambuz wa ishu nzito
Wazee ili chama ni letu tusaidiane kuibua vipaji
Yan jamaa lnatumka
kusmamia business za watu tu
Kama gasho ndo chanzo yuko
Nyuma nyuma kama mkia
Ruge endelea kuwanyooosha
Ww ni form four level,Zitto kabwe na halima mdee wapewe kipindi cha taarabu asilia
kufnya kazi na msanii mkubwa ykupasa uangalie pia na ushawishi wake uliopo kwenye soko katika wakati husika ...kwahiyo wwe ukiletewa FUTURE ..FRENCH MONTANA .KENDRICK NA RICK ROSE ..UTAFNYA KAZI NA YUPI KATI YA HAO MKUUunamjua rick ross kama ndiyo taja wasanii wangapi wameimba naye hapa africa.....
Na tv ni ya bi matola kusaga ni balozi tu pale.Radio ni ya Joseph Kusaga, usidandie vitu usivyovijuwa.
Hapo kwa Linex naunga mkono aslimia mia. Dah jamaa alikuwaga anatangaza kipindi cha BONGO.COM enzi hizo Times fm akiwa na jamaa mmoja wakuitwa Bandago Haule jamaa anaesikika kwenye matangazo ya Airtel (vyuma vimekaza). Linex alikuwa anafanya segment moja inaitwa MACHWEO NA MWANA ebhana eee.. jamaa alikuwa anabamba ile mbaya
kendrick..... ndio kwa sababu anatrend lakini ukiangalia kufanya kazi na rick ross si kazi ndogo kwa sababu unajua ni msanii mkubwa hivo anapata wasanii wengine wakubwa zaidi wa kufanya nao kazikufnya kazi na msanii mkubwa ykupasa uangalie pia na ushawishi wake uliopo kwenye soko katika wakati husika ...kwahiyo wwe ukiletewa FUTURE ..FRENCH MONTANA .KENDRICK NA RICK ROSE ..UTAFNYA KAZI NA YUPI KATI YA HAO MKUU
kama kawaida ya chibudenga ongeeni yooote mkimaliza mtapewa ukweliHilo Chama ni la Kusaga.
okay ..anastahiki kupongezwa kwa juhudi zake hizo ..lkini ktk industry ukitaka utoboe yakupsa ufnye kazi na wasanii waliopo juu katika nyakati stahiki...mfano ukifnya kzi na migos ..Bruno mars .card b. quavo .future .na kina young thug macho ya watu yatakuwa kwako zaidi kwa sbabu hao unaofnya nao niwatu wnaofutaliwa mnoo kwa sasa ..kendrick..... ndio kwa sababu anatrend lakini ukiangalia kufanya kazi na rick ross si kazi ndogo kwa sababu unajua ni msanii mkubwa hivo anapata wasanii wengine wakubwa zaidi wa kufanya nao kazi
Radio ni ya Joseph Kusaga, usidandie vitu usivyovijuwa.
Hahahah!Zitto kabwe na halima mdee wapewe kipindi cha taarabu asilia