Wasafi tv na radio inakaribia kuwashwa...Tuanze kupendekeza watangazaji

Wasafi tv na radio inakaribia kuwashwa...Tuanze kupendekeza watangazaji

Mazungumzo baada ya habari apewe Le Mutuz
 
Zari na Wema wapewe kipindi cha mipasho
 
Mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa WCB.

Mapendekezo yangu

Kipindi Cha muziki wa kisasa akae Sky walker

Mambo ya uswahilini akae mzee wa ngenga

Michezo amchukue Masau Bwile

Linex anafaa ana bonge la talent ya utangazaji

Dr shika vipindi vya uchambuz wa ishu nzito

Wazee ili chama ni letu tusaidiane kuibua vipaji
Hilo Chama ni la Kusaga.
 
unamjua rick ross kama ndiyo taja wasanii wangapi wameimba naye hapa africa.....
kufnya kazi na msanii mkubwa ykupasa uangalie pia na ushawishi wake uliopo kwenye soko katika wakati husika ...kwahiyo wwe ukiletewa FUTURE ..FRENCH MONTANA .KENDRICK NA RICK ROSE ..UTAFNYA KAZI NA YUPI KATI YA HAO MKUU
 
Hapo kwa Linex naunga mkono aslimia mia. Dah jamaa alikuwaga anatangaza kipindi cha BONGO.COM enzi hizo Times fm akiwa na jamaa mmoja wakuitwa Bandago Haule jamaa anaesikika kwenye matangazo ya Airtel (vyuma vimekaza). Linex alikuwa anafanya segment moja inaitwa MACHWEO NA MWANA ebhana eee.. jamaa alikuwa anabamba ile mbaya

linex angekomaa na utangazaji angekuwa mbali chibu amchukue mwana kwenye chama letu
 
kufnya kazi na msanii mkubwa ykupasa uangalie pia na ushawishi wake uliopo kwenye soko katika wakati husika ...kwahiyo wwe ukiletewa FUTURE ..FRENCH MONTANA .KENDRICK NA RICK ROSE ..UTAFNYA KAZI NA YUPI KATI YA HAO MKUU
kendrick..... ndio kwa sababu anatrend lakini ukiangalia kufanya kazi na rick ross si kazi ndogo kwa sababu unajua ni msanii mkubwa hivo anapata wasanii wengine wakubwa zaidi wa kufanya nao kazi
 
kendrick..... ndio kwa sababu anatrend lakini ukiangalia kufanya kazi na rick ross si kazi ndogo kwa sababu unajua ni msanii mkubwa hivo anapata wasanii wengine wakubwa zaidi wa kufanya nao kazi
okay ..anastahiki kupongezwa kwa juhudi zake hizo ..lkini ktk industry ukitaka utoboe yakupsa ufnye kazi na wasanii waliopo juu katika nyakati stahiki...mfano ukifnya kzi na migos ..Bruno mars .card b. quavo .future .na kina young thug macho ya watu yatakuwa kwako zaidi kwa sbabu hao unaofnya nao niwatu wnaofutaliwa mnoo kwa sasa ..
 
Back
Top Bottom