WASAFI TV/RADIO: Kwa kila faida ya Bilioni 10, Diamond atalamba Bilioni 2

Mkuu unaijua kweli bilion kumi au unaongea tu hapa

Bas kama ndo hivyo akina diallo wangekuwa matajari wa kutupwa kama ndo kuanza tu na watu wana lamba bilion kumi bas ni noma sana
Matajiri.
 
Mange mwenyewe ananitegemea Mimi nimpe taarifa ndo awajulishe
 
Watu kama nyinyi huwa nawashangaa sana na kuna wakati najiuliza vichwa vyenu vina ubongo kweli au kamasi!!?
Yani leo hii Kusaga ambaye ndiye mkurugenzi mkuu wa Clouds Media Group inayomiliki Clouds tv & radio afungue kituo kingine cha redio kinachokuja kushindana na CMG aliyoiasisi na kuipambania kwa zaidi ya miaka 15!!?? Hujui kuwa kuna chuki ya waziwazi (kibiashara) kati ya Wasafi tv & radio na Clouds media!? Mbona hatukuona ushindani kama huu ilipoanzishwa Choice FM!? Kuna wakati inabidi ushabiki wetu wa kipumbavu tuuweke pembeni tujadili mambo kwa uhalisia wake. Diamond anapaswa kupongezwa kwa hili la Wasafi Media na kiukweli kabisa ni mfano bora wa kuigwa na vijana wenzake wengi tu wanaopata fursa na kuzichezea.
 
Kutaja Bil 10 au 2 ni rahisi, ngoja waanze ndipo watajuwa TV Broadcasting siyo mchezo mchezo, wawaulize Clouds na Star TV
 
Kutaja Bil 10 au 2 ni rahisi, ngoja waanze ndipo watajuwa TV Broadcasting siyo mchezo mchezo, wawaulize Clouds na Star TV
Kama ingekuwa ni ngumu basi huu utitiri wa redio na TV tusingeuona,sababu mtu hawezi invest ktk biashara ambayo hailipi.
 
Hapa unaweza ukakuta aliyeleta umbea kama huu ni mwanaume!!

Mpaka unajiuliza wanaume tunaelekea wapi?

Yaani huwezi ukapata/kuona taarifa ama kitu chochote ukakaa nacho kwanza na ukitafakali kwa makini wewe mwenyewe!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…