Puyugu 01
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 573
- 455
Matajiri.Mkuu unaijua kweli bilion kumi au unaongea tu hapa
Bas kama ndo hivyo akina diallo wangekuwa matajari wa kutupwa kama ndo kuanza tu na watu wana lamba bilion kumi bas ni noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matajiri.Mkuu unaijua kweli bilion kumi au unaongea tu hapa
Bas kama ndo hivyo akina diallo wangekuwa matajari wa kutupwa kama ndo kuanza tu na watu wana lamba bilion kumi bas ni noma sana
Watu kama nyinyi huwa nawashangaa sana na kuna wakati najiuliza vichwa vyenu vina ubongo kweli au kamasi!!?Taarifa za chini chini kutoka kwa mchunguzi konyo mange kimambi inasemekana Diamond platnumz anamiliki asilimia 20 ya wasafi TV na radio...Mara ya kwanza watu walivyodhani hii TV na radio inamilikiwa na Wcb tu ilikuwa ni dhahiri hiki kituo tarajiwa kisingeweza kushindana na clouds na kingekua kinapata mapato machache.....
Kitu kizuri ni kwamba hii wasafi TV na radio kuna mkono wa Joseph kusaga ambaye ataiboost kweli kweli hiki kituo na haitakua jambo la kushangaza kituo hiki kikiingiza takribani bilioni 10 baada ya makato na ushuru wa aina yoyote...hii ni kwamba kwa vile D anamiliki asilimia 20 basi bilioni mbili ni halali yake kabisa....
Huyu kijana anazidi kufanikiwa na kuwapa hamasa ya maendeleo vijana wenzake...Msanii anaweza kuwa an hit kinoma Leo lakini hakuna anaeweza Ku hit muda wake wote na inabidi kuwe na biashara Ama uwekezaji nje na muziki ili muziki ukimtupa asiwe omba omba.
BIG UP DIAMOND PLATNUMZ JAPO MIMI NI SHABIKI WA KIBA😉😉
Da mange hide my IDhahaa mtoa mada kalewa huyu ..kwanza aliyemwambia hiyo wasafi TV ni yakusaga nani ??
Kama ingekuwa ni ngumu basi huu utitiri wa redio na TV tusingeuona,sababu mtu hawezi invest ktk biashara ambayo hailipi.Kutaja Bil 10 au 2 ni rahisi, ngoja waanze ndipo watajuwa TV Broadcasting siyo mchezo mchezo, wawaulize Clouds na Star TV
Akiongea uongo ndo tatizoUtafungwa ndugu yangu, wakati unatengeneza hiyo App, uliwashirika wahusika au mahaba yako.
Siku hizi kafulia kutoka followers 1.7m hadi kubakiza 200kMange mwenyewe ananitegemea Mimi nimpe taarifa ndo awajulishe