dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Dizzim tvWatazamaji wakimbie kwenda wapi ?
Kama hilo ndo lengo lao basi wako sahihi...Ni umweee
Umewahi kucheki zile segment za kama Arsenal TV, Liverpool TV?
Kwa mara chache nilizoangalia mara nyingi hua wanajionyesha wenyewe tena kama ni mechi ni ile waliyoshinda.
Tupambane na ukweli
Aisee bonge moja la tv station, jamaa wamejipanga kiukweli.Dizzim tv wako poa sana..
WCB walikuwa wanabaniwa kwenye TV nyingine kwahyo wamefungua TV yao kwa ajili ya promo za kazi zao,waache wapige nyimbo zao masaa 24 watakavyo kwahiyo natural selection itatake place only wapenzi wao ndio watakao kuwa wanaangalia.Haujafungwa minyororo au Pingu kuwa ni lazima uangalie wasafi tv...Channel zipo nyingi chaguo ni lako tu na uwezo wako wa kulipia
Inachocha miziki kujirudia hiyo hiyo muda wote!Kumbe ni hivyo? Kwa staili yao hata mashabiki wao watachoka... Utility itaenda - ve tu
Kama tu kuandaa playlist nzuri ya music wameshindwa,sioni wakifanikiwa kwenye vipindi..Inachocha miziki kujirudia hiyo hiyo muda wote!
Hata nao, lengo lao ni kupata watazamaji wengi. Sasa kama lengo lao ni kutuonyesha nyimbo zao, au mambo yao tu, watapunguza watazamaji.