Wasafi Tv wanachosha na Tv Yao

Wasafi Tv wanachosha na Tv Yao

Ni umweee

Umewahi kucheki zile segment za kama Arsenal TV, Liverpool TV?
Kwa mara chache nilizoangalia mara nyingi hua wanajionyesha wenyewe tena kama ni mechi ni ile waliyoshinda.

Tupambane na ukweli
 
Ni umweee

Umewahi kucheki zile segment za kama Arsenal TV, Liverpool TV?
Kwa mara chache nilizoangalia mara nyingi hua wanajionyesha wenyewe tena kama ni mechi ni ile waliyoshinda.

Tupambane na ukweli
Kama hilo ndo lengo lao basi wako sahihi...
 
Pale unaangali WASAFI TV alafu unasubiri wimbo wa Kiba upigwe. Mwamba ngoma huvutia kwake. Badilisha channel tu mzee
 
Haujafungwa minyororo au Pingu kuwa ni lazima uangalie wasafi tv...Channel zipo nyingi chaguo ni lako tu na uwezo wako wa kulipia
WCB walikuwa wanabaniwa kwenye TV nyingine kwahyo wamefungua TV yao kwa ajili ya promo za kazi zao,waache wapige nyimbo zao masaa 24 watakavyo kwahiyo natural selection itatake place only wapenzi wao ndio watakao kuwa wanaangalia.
 
Labda ndio wanajiandaa, wajifunze kutoka ITV inavyoelimisha kwa vipindi tofauti . Malumbano ya hoja utapenda mwenyewe, miziki yenye maadili na elimu katika jamii. Mjitahidi kubadilika, mimi mara nyingi napita njia tu ninapokutana na miziki wakati wote.
 
haraka ya nini mkuu? bado wako monitored na tcra kwa kipindi hiki tangu wawashe. so subiri maelewano yao na tcra yaishe utaona contents mpya. Tv yoyote ile mpya ikianzishwa kuna kipindi kama cha miezi 6 hiv inasubirishwa kwanza
 
Kumbe ni hivyo? Kwa staili yao hata mashabiki wao watachoka... Utility itaenda - ve tu
Inachocha miziki kujirudia hiyo hiyo muda wote!
Hata nao, lengo lao ni kupata watazamaji wengi. Sasa kama lengo lao ni kutuonyesha nyimbo zao, au mambo yao tu, watapunguza watazamaji.
 
Inachocha miziki kujirudia hiyo hiyo muda wote!
Hata nao, lengo lao ni kupata watazamaji wengi. Sasa kama lengo lao ni kutuonyesha nyimbo zao, au mambo yao tu, watapunguza watazamaji.
Kama tu kuandaa playlist nzuri ya music wameshindwa,sioni wakifanikiwa kwenye vipindi..
 
Mameneja wa Diamond wameshazitukana media kadhaa za nchini na wamesababisha kazi za wasanii wa wasafi hazichezwi kwenye hizo media.
 
Last edited:
Back
Top Bottom