Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 879
- 652
Amani imevunjwaje hapo sasa,mnajua huku dunia kunawatu wapigania kuweka samana na shetani mahakani. Ukisoma DA VINCI CODE Utasemaje sasa.TCRA na vyombo husika vichukue hatua kali dhidi ya media na mhusika aliotoa matamshi yanayoweza kuleta uvunjifu wa amani