Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Quora uende wewe alafu uje kunishtaki mimi..Acha
Ni sawa tu na wewe kama aliyotukanwa yesu na nabii shillah alafu yesu mwenyewe katulia ila wewe kimbelembele chako unatutolea povu sisi,,, mtolee povu nabii shillah we mburukenge
 
Waliyotuletea hizo dini wenyewe wametulia tuli

Sisi tunaishia kupasuana

Ova

Wanaogombana ujue ni wajinga haijalishi uislamu au ukristo, dini ililetwa na waarabu na wazungu ili kufanikisha ajenda za utumwa na ukoloni kirahisi hivo ukiwaza sana wala haupati shida na mafundisho yanayotaka watu wawe wanyenyekevu kwa kila kitu bila kuhoji
 
Siku wajichanganye wamseme vibaya mtume wa deen ya HAKI watjua hawajui.
 
Ni sawa tu na wewe kama aliyotukanwa yesu na nabii shillah alafu yesu mwenyewe katulia ila wewe kimbelembele chako unatutolea povu sisi,,, mtolee povu nabii shillah we mburukenge
Hiyo sio kazi yangu,,kazi ya kutukana/kutisha watu wanaopractice uhuru wao wa kutoa mawazo ni ya waislam
 
Atakama shekhe ndo sasa umeipeleka kwenye ushoga? Ushoga si dhambi kabisa kwenye dini yenu au sio?
Una element za kichoko,,, kwani wewe tatizo lako hasa ni nini? Mana huu uzi unamhusu nabii shillah na wasafi sasa wewe unaingiza vitu vingine hata visivyohusika,,
 
Una element za kichoko,,, kwani wewe tatizo lako hasa ni nini? Mana huu uzi unamhusu nabii shillah na wasafi sasa wewe unaingiza vitu vingine hata visivyohusika,,
sasa mimi kuingiza misikiti ndo imekufanya nawewe kuuingiza ushoga shekhe? unacceptable
 
Wajifunze kwa wanamuziki the beetles waliosema tu wao ni maarufu kuliko Yesu. Kuna orodha ndefu ya wasanii waliomkashifu Yesu waliyapata wasiotegemea.Wasafi wamwombe msamaha Yesu huko waliko.
Grow up aisee not you but your brain.

Kuna jamaa mmoja anajiita jesus christ youtube itafute channel yake, yule jamaa anavaa zile shuka kama yesu then anateleza na skateboard barabarani huku amepanua mikono kama yesu, watu hawamfanyi chochote zaidi ya kucheka tu. yuko new york nadhani.
Ni mzungu na new york wanaishi christians wengi zaidi, lakini huoni wakipiga hizi kelele na blah blah nyingine za kupakazia muslims.
considering wao ndio wameleta dini afrika.
Why sababu tayari akili zao zimeshakua kiasi cha kutosha kuweza kuelewa maana ya Dini na Imani, cha ajabu africans walioletewa ndio wapiga kelele kwa kujiona wao wanamjua mungu na dini zaidi ya walioileta.

Na hii thread imeonyesha kiasi gani watu walivyo wajinga na walivyokosa akili vilevile pia kushindwa kujielewa.

So mbona yule jamaa anayejiita jesus bado anadunda tu na maisha yake?
Hawa waliowaletea dini hawana habari nazo wanahangaika kutengeneza future na kuendeleza technology.

waafrika pekee walioletewa ndio bado wamewekeza kwenye Imani hakuna sababu ya kujiuliza kwanini ni masikini.
 
Duuh mhusika aje kulalamika au na wafuasi nao wanaruhusiwa kulalamika
 
Angeshakamatwa na serikali simply because mnafamika huwa mnaongozwa na mihemko kuliko akili. Hamchelewi kukata kituo cha TV mapanga. Itoshe tu kusema mna the lowest emotional intelligence. Bila shaka mmejifunza kitu kutoka kwetu. Calmness, critical thinking, react wisely
Kutokea kwenu kina nani?

Nijibu hilo swali jepesi then niprove kwamba ulichoandika ni scam na unajiongopea mwenyewe.
Kushindwa kujibu hilo swali jepesi basi tayari utakuwa unaprove nilichoandika kabla sijaprove point yangu.
 
Saf Sana...acha wapumbv washika dini zakishenzi mzid kutwangana na kukwaruzana,

huyo yesu sjui Nan pamoja na nduguze wakina muhhamad hawajawai na hawatowai kuwepo Zaid ya stories za kusadikika zilizoletwa na washirikina wa kirumi&arabu il kumtisha mtu mweusi na kumfunga akil ya roho na mwil.

Ni wakat sahih wa watu weus kuamka na kuanza kuhoji undani wa hizi imani za kusadikika zlizokuja kwa Nia mbaya,

Sio huyo yesu hata hao wakina mudi na Allah mbona nao tunawaongelea Sana na kuwachafuwa Sana na hawana uwenzo was kutufanya lolote lile na watachafuliwa, the same way walivyochafuliwa mababu zetu kwa kuitwa wajinga waabudu mizim,

now waafrika tumeamka hatuna uwoga wa dini zlzokuwa zikitutishia Moto wa jehanam, muda huu tumeamka na hatuwaogop hao miungu feki, na itafika hatua ktk media zote afrika itahubiriwa kwel, yaan kwel isiyo chakachuliwa, kwel yenyewe ni kuhoji undani wa hizi dini, pia ukwel kuhusu imani sahihi ya muafrika.

Mujuwe kuwa muafrika iman yake si kuabudu mizimu na maushirikina mnayodanganywa na hayo matapel yanayojiita wachungaji na mashehe,

bal imani ya kwel ya muafrika ni kumuabudu Muumba wa kwel ambaye hao wazawa wa shetan(walioleta dini) walikwamisha na kuharbu mafundsho ya kwel na kuleta imani zao, ili tumsahau Muumba wetu,

Walfanya ivyo il tupoteze nguvu na tutawalike kiwepesi pasipo kutegemea nguvu za uungu,

ujuwe kuwa hapo kabla, ya utumwa kufanikiwa, ilkuwa ngumu afrika kupigwa na wageni, sabbu mababu zetu walkuwa wakimtegemea Muumba wakwel ambye alikuwa akiwashushia babu zetu Viumbe vyenye nguvu Kuja kuishindia afrika, Viumbe Hawa ndye wale ambao dini zenu mnaita malaika, na wanasayansi huwaita Allien from outer the earth's surface,

Hawa ndye walkuwa wakiwasiliana na babu zetu na kuwapa mbinu nyingi za kivita na technolojia ikiwepo ujenzi wa majengo mfano pyramids....

ukwel mchungu hao miungu mnaowatetea hawana msaada ktk maisha yenu mnapoteza muda wenu bure
Unaongea (unaandika) kwa paniki sana mjumbe hebu tusaidie huyo mungu tunayepaswa kumwabudu waafrika ni yupi na tunamwabudu vipi (ukiacha kutenda matendo mema ya kila siku)
 
Back
Top Bottom