Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wapi nimesema hapakuwa na kitu??Nimesema kulikuwa na singularity ya energy hizi nyota na planets hazikuwepo unaelewa kweli wewe ukisoma?
Singularity ya energy maana yake nini?..Bing bang inasema universe imetokana na initial state of high density and temperature of a tiny point,ili upate density sharti pawe na mass na volume,hii density(mass/volume) ni ya nini?..hiyo tiny point ni nini?
 
Hebu wewe professa wa madrassa tuambie bigbang ilitokeaje
Initial state of high density and temperature of a tiny point,exploded and kept expanding ever since,particles and blah blah Les to galaxies that kept running from each othee
 
Hivi kwanini serikali inaruhusu wavuta bangi kuanzisha television.
 
Initial state of high density and temperature of a tiny point,exploded and kept expanding ever since,particles and blah blah Les to galaxies that kept running from each othee
Hiyo website imekupiga,,universe haiexpand from a single point,,kwa kiarabu maana yake bigbang haikutokea kwenye single tiny point kama ulivogoogle
 
Nadhani yule kijana Mchaga OG bado akili yake haijakomaa vzr kufanya kipindi na mtu wa namna ile bila kumsahau Mhariri wa hicho kipindi
 
Hiyo website imekupiga,,universe haiexpand from a single point,,kwa kiarabu maana yake bigbang haikutokea kwenye single tiny point kama ulivogoogle
Nimesoma Big bang a level,na bahati mbaya hujasoma vizuri maelezo yangu na Wala huelewi nilichoandika,inaelekea nini kuhusu universe? Soma vizuri Qur'an 21:30 kuhusu big bang,then Soma Qur'an 51:47 kuhusu expansion ya universe,then nenda Wikipedia tu watakusaidia,Qur'an ni tofauti na kile kitabu kinachosema yesu alimtia mimba mama yake ili mama yake amzae yesu
 
Initial state of high density and temperature of a tiny point,exploded and kept expanding ever since,particles and blah blah Les to galaxies that kept running from each othee
Hiyo website imekupiga,,universe haiexpand from a single point,,kwa kiarabu maana yake bigbang haikutokea kwenye single tiny point kama ulivogoogle
Nimesoma Big bang a level,na bahati mbaya hujasoma vizuri maelezo yangu na Wala huelewi nilichoandika,inaelekea nini kuhusu universe? Soma vizuri Qur'an 21:30 kuhusu big bang,then Soma Qur'an 51:47 kuhusu expansion ya universe,then nenda Wikipedia tu watakusaidia,Qur'an ni tofauti na kile kitabu kinachosema yesu alimtia mimba mama yake ili mama yake amzae yesu
Mzee jibu hoja acha ngonjera,,,mimi nimeisoma chuo
 
Hata kama angetukana mbuzi najua waislam mngemchinja huyo mbuzi..hapa ishu sio katukana nani ishu nini kilichomkuta mtukanaji na matokeo yake endapo angetukana upande wa pili
Sasa huo upande wa pili unahusika vipi wewe ktk hili,, we kweli mwehu
 
Hiyo website imekupiga,,universe haiexpand from a single point,,kwa kiarabu maana yake bigbang haikutokea kwenye single tiny point kama ulivogoogle

Mzee jibu hoja acha ngonjera,,,mimi nimeisoma chuo
Hujaisoma chuo,umegoogle,ukaona quora Kuna hiyo topic,ukasoma,ukakariri ndo ukarudi hapa,ndiyo maana huelewi
 
Quora uende wewe alafu uje kunishtaki mimi..Acha ngojera jibu hoja,,,nani kakuambia bigbang iliexplode from a tiny point? weka source
 
Back
Top Bottom