Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Nimesoma vizuri sana tu,,,na mashekhe waliosomea dini wamesoma vizuri pia na ndomaana ile sharia ya kuamuru mtu anayeacha uislam auliwe imetokana hapa na kwenye hadith...au twende facts kwa facts zaidi,,,weka na mwanazuoni unayemuamini alivyoitafsiri hii aya halafu mimi ntakuwekea tafsiri ya Ibn kathir
Aya haitafsiriwi na mwanazuoni,Aya huwa ziko wazi,hakuna Aya inayosema mtu akitoka kwenye uislam auawe,hiyo Aya hujamalza kuinukuu na pia umepotoka kitafsiri
 
By the way qur'an sio porojo,imezungumzia nadharia ya Bing bang kipindi hicho,inanyambu uumbwaji ndani ya tumbo la mwanadam
Hivi kwanini wengi mnapenda kuhusisha uislam na sayansi?

Hivi unaelewa mechanism ya sayansi?
 
Comment yako hii hapa=Umeona eenhh?!!.Tungewaona barabarani na vimakanzu vyao wakisema "Takbiriii" sasa halafu unakataa nini ndio ujue kuwa wewe ni nyumbu tena mchelemchele shwain
Onyesha neno "Uislamu", Kwani Makanzu mnavaa ninyi tu?,Neno "Takbiriii", Kwani linatumika na ninyi tu?.Kafiri mkubwa wewe.
 
Dah naona mpaka unanifukuza, yani navyuongelea uislam unaona kama naupiga vita na kuuchafua...ingekuwa karibu na nchi ya kiislam ungetumia aya hii kuniadhibu
5_33.gif

33. Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi wowote katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa. 33
Aliyetukana nabii shillah na aliyemuhoji mkristo mwenzie lkn zigo la lawama wanatupiwa waislam,,, tunarudi pale pale fungulia uzi wako tujadili hicho unachokitaka ila hapa kwa sasa ni nabii shillah na wasafi kama uzi ulivyoletwa,, asee we jamaa sipati picha kama shekhe ndo angefanya hiyo hiyo interview sijui ingekuwawaje
 
Kwanini mnapenda kuhusisha sayansi kwenye imani?
Hatuhusishi Ila kwenye Qur'an zipo Aya zinazoelezea baadhi ya Mambo ya kisayansi,Kama qu'ran 23:12-14 inazungumzia uumbwaji wa binaadam,21:30,51:47 inazungumzia uumbwaji wa ulinwengu,Sasa tusiseme ndugu yangu!!?
 
Wajifunze kwa wanamuziki the beetles waliosema tu wao ni maarufu kuliko Yesu. Kuna orodha ndefu ya wasanii waliomkashifu Yesu waliyapata wasiotegemea.Wasafi wamwombe msamaha Yesu huko waliko.
John Lenon alitandikwa risasi na mtu mwenye itikadi kali ya kikristo, lakini upo sahihi ulichosema,leo hilo kundi tunalijua wachache
 
Kwahiyo na wapagani mnavaa kanzu na mnatumia takbir? Ndio maana nabii shila akasema ukweli na Yuko sahihi
Wewe kitumbua kuwa muelewa basi!!,Sio kuropoka km vile umekula kinyesi Cha walevi.Kanzu ni vazi tu wala halina ishu kuna wahuni kibao wanavaa kanzu, Kule Mbeya kuna dini ya Mizimu nao wanavaa kanzu,Nabii Tito anavaa kanzu,sasa kuna ishu hapo??. Kuhusu hicho kineno "Takbiriii",Kina asili ya kiarabu lkn wanaokitumia ni mobu wala sio Waislamu tu.Hebu tuliza mshono.
 
mtu husema kilicho moyoni mwake pindi akiwa katika hali mbili, moja,akiwa kalewa na pili akiwa na hasira. hivo basi kwa comments za hapo juu nimegundua ya kwamba members wengi wamesema ya moyoni mwao
inaelekea wanaichukulia Wasafi kwamba ni ya kiislamu ndio maana wameelekeza matusi huko licha ya kwamba maneno yamessmwa na mkristo mwenzetu. inaonekana kuna members hawaipendi Wasafi kwa sababu za kidini
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hatuhusishi Ila kwenye Qur'an zipo Aya zinazoelezea baadhi ya Mambo ya kisayansi,Kama qu'ran 23:12-14 inazungumzia uumbwaji wa binaadam,21:30,51:47 inazungumzia uumbwaji wa ulinwengu,Sasa tusiseme ndugu yangu!!?
Kwasababu tunaijua vyema sayansi kua sio mara zote imekua iko perfect na ndio maana zipo record kibao ambazo zimekuwa proved wrong wakati zilikua zikiaminika kua ni valid

Sasa leo unasema quran imeongea kuhusu bingbang, vipi siku sayansi ije ikanushe madai hayo kwa kupata wa kweli sahihi na kuonesha haikua sahihi kwenye bingbang?

Utaendelea kusema quran ipo sahihi kwenye bingbang?
 
Kwasababu tunaijua vyema sayansi kua sio mara zote imekua iko perfect na ndio maana zipo record kibao ambazo zimekuwa proved wrong wakati zilikua zikiaminika kua ni valid

Sasa leo unasema quran imeongea kuhusu bingbang, vipi siku sayansi ije ikanushe madai hayo kwa kupata wa kweli sahihi na kuonesha haikua sahihi kwenye bingbang?

Utaendelea kusema quran ipo sahihi kwenye bingbang?
Sayansi ni uelewa wa binadamu juu ya mazingira yanayomzunguka,simwamini Sana binaadam,naiamini zaidi Qur'an,so akija kusema nadharia ya big bang iko wrong najua binaadam ndo atakua wrong na so qur'an.lakini anapoenda sawa na Qur'an ntakua nae
 
Back
Top Bottom