Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Huyu shila waamumini wake wanaofatilia ni mazuzu aise
Yaani mpaka leo hii watu wanashindwa kushtuka
Kweli wajinga hawaishii

Ova
 
Ndio maana serikali ili taka kusajili na kutoa leseni ya hawa watu wenye jukumu la kuendesha imani mkagomea sasa mtu yeyote anajiita tu
 
Badala ya mungu wake kuwafukuza wafanyabiashara wasifanye biashara hekaluni,yesu akawatimua
kwanza yeye mwenyewe alikuwa Mungu kwahyo alijipigania...lakini kuwatimua ndo kuwapiga? unajua maana ya kupigania(kupigana kwa niaba ya)
 
kwanza yeye mwenyewe alikuwa Mungu kwahyo alijipigania...lakini kuwatimua ndo kuwapiga? unajua maana ya kupigania(kupigana kwa niaba ya)
Wewe ndo umesema yeye alikua mungu,lakini yeye hakuwahi kusema yeye ni mungu,ndiyo maana pale msalamani alilalama mungu wangu mbona umeniacha..pia alinambia Maria Magdalena usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa baba,ambaye ni mungu wangu na ni mungu wenu pia
 
Sasa waislamu wana husika nini na Hilo tukio aliohoji ni mkristo aliohojiwa ni ni mkristo tena ni nabii ajabu Una zungumzia waislamu kama sio ushoga ni nini,
Kwani nimetaja Uislamu Mimi hapa?, Naona unatafuta Mwaume wa kukutuliza nyege sio bure.
 
Wafuasi wa yesu Wana shida kichwani aliezingua ni mkristo mwenzao tena wanamuita nabii,vituko badala ya kumshambulia huyo nabii wao shila wanaushambulia uislamu kweli vituko haviishi [emoji23][emoji1787]
Nadhani ni kwasababu wanahusisha na team ya wasafi upumbavu wao kupost jambo kama hilo na inawezekana waliopo nyuma ya kamera ni watu wa imani nyingine therefore wamejitoa ufahamu.
 
Wewe ndo umesema yeye alikua mungu,lakini yeye hakuwahi kusema yeye ni mungu,ndiyo maana pale msalamani alilalama mungu wangu mbona umeniacha..pia alinambia Maria Magdalena usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa baba,ambaye ni mungu wangu na ni mungu wenu pia
Alisema mimi na huyo baba ni kitu kimoja
 
Unajua tofauti ya qur'an na hadithi?!!
mbona unajibu swali kwa swali?
Mimi najua zote ni story za waarabu zilizotrend miaka ya 900AD ambazo walizitenga makundi mawili...story zao za maneno ya muhammad waliziita hadith...hizi zingine ambazo walisema ni maneno ya muhammad ambaye anasema alitoa kwa Allah tuziite Quran
 
900Ad!!..Muhammad alikuwepo duniani Kati ya 570-630,haya lete Aya na hadithi zinazoonesha mtu akikashifu uislam adhuriwe
 
Una Aya ya qur'an inayoonesha simbaulanga alitakiwa kushughulikiwa!?
Maana Alichofanya ni uchafuzi wa dini na ammempiga vita mtume...kwahiyo hiki kifungu kingetumika
Quran 5:33
5_33.gif

33. Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi wowote katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa. 33
 
mbona unajibu swali kwa swali?
Mimi najua zote ni story za waarabu zilizotrend miaka ya 900AD ambazo walizitenga makundi mawili...story zao za maneno ya muhammad waliziita hadith...hizi zingine ambazo walisema ni maneno ya muhammad ambaye anasema alitoa kwa Allah tuziite Quran
By the way qur'an sio porojo,imezungumzia nadharia ya Bing bang kipindi hicho,inanyambu uumbwaji ndani ya tumbo la mwanadam
 
Bashite na magu ni kitu kimoja pia,kapombe na mkude ni kitu kimoja,makamu wa rais na rais no kitu kimoja,yaani wapo kufanikisha Jambo Fulani kwa nafasi zao
Hivyo vyote ulivyotaja ni vitu tofauti...mke wa bashite hawezi kwwenda kulala na magu eti kisa ni kitu kimoja
 
Back
Top Bottom