mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Huna lolote swainiNimefurahia kitendo cha shillah kuendelea kuwa na amani mtaani licha ya kutukana dini fulani....ile dini ya amani ina jambo la kujifunza hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna lolote swainiNimefurahia kitendo cha shillah kuendelea kuwa na amani mtaani licha ya kutukana dini fulani....ile dini ya amani ina jambo la kujifunza hapa
Kweli Hilo ni ZUZU [emoji23][emoji1787]Unajua kusoma?Nisije kuwa nalumbana na zuzu.Rudia tena kusoma andiko langu.
Kumbuka hao wote NI wakristo.Hapo angetajwa mtume kungekuwa na maandamano, huyo mtangazaji wa wasafi anapotosha kuhusu Imani ya kikristo, kwanini asijikite na mambo mengine atuachie Imani yetu, otherwise huyu ni mchochezi ka wachochezi wengine
aliyebeba msalaba alikua Nani umenichanganya au ilikua fix Mana simoni alimpokea yesu msalaba!!Yesu sio sura ni roho
Paulo atokewe na yesu wa wapi bna wewe!!!Kama ambavyo Paulo alitokewa Na Yesu mwenyewe Na huyu namuombea Yesu akutane nae.
Huwa hawafikiri hao,Mambo yakitoka juu wanafikishiwa kupitia jumuiya,wanabeba tu,hiyo mungu hapiganiwi nlishamsikia papa,Cha ajabu yesu alibinua meza za wafanyabiashara hekaluni kwa kugeuza nyumba ya mungu kuwa sokoKama ni uharo basi wako umevunda kabisa
Undhani vita vya msalaba (crusades) vilikuwa vya nini?
Sio lazima utudhihirishie uwezo mdogo wa kufikiri ulio "barikiwa'' nao
Sawa je umesoma comment yake niliyo m quote au
Hata Yesu tunamtetea vitendo by kihuni hivyo havikubaliki so ondoa Shaka kwenye hili hata waislam tunaumia na tunasema sana sema huwa hamtuelewiWafuasi wa Allah Kama ndo matamshi haya yangaliwalenga,saa hii wangalikuwa barabarani wakimtetea.by the way wafuasi wa Kristo Ni wavumilivu sana
Ya zao mashuleni hufundishana chili dhidi ya waislamYaani we Binti una matatizo zaidi ya nilivyokua nafikiria,bila shaka akili yako ni mbovu kwa malezi ya hovyo uliyoyapitia,ukisikia dini fulani inatajwa lazima ujipitishe huku unatingisha msambwanda.
Nshakuambia uache shobo na mimi...sina hela ya kukununulia mkongoYaani we Binti una matatizo zaidi ya nilivyokua nafikiria,bila shaka akili yako ni mbovu kwa malezi ya hovyo uliyoyapitia,ukisikia dini fulani inatajwa lazima ujipitishe huku unatingisha msambwanda.
Mood gani aliyeliwa na nguruwe?..Mbona akitajwa Mtume unakuwa mkali ila yeye kukashifu wengine na Imani sawa tu ila akitajwa mood aliyeliwa na nguruwe ndio unaumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Binti kama vipi kambembeleze yule mpemba wako,maana naona umeamua kuichukia mpaka dini yake,ndio matatizo ya kushinda JF kutwa una andika pumba mpaka ukawa unasahau majukumu yako ya Nyumbani.Nshakuambia uache shobo na mimi...sina hela ya kukununulia mkongo
Tufanye hii ndo iwe goodbye mimi nawewe usinishobokee tena,,ukiona comment zangu pita mbali kama umeona banda la nguruweBinti kama vipi kambembeleze yule mpemba wako,maana naona umeamua kuichukia mpaka dini yake,ndio matatizo ya kushinda JF kutwa una andika pumba mpaka ukawa unasahau majukumu yako ya Nyumbani.
Itakua una umri mdogo,huko nyuma Simba ulanga akihubiri hadharani alidai alisoma na Allah sw mbagala na hakuwa na akili,lakini pia alidai mtume alikufa kwa ukimwi,hakupigwa hata konzi na majirani zake waislam pale maguruwe tmkNimefurahia kitendo cha shillah kuendelea kuwa na amani mtaani licha ya kutukana dini fulani....ile dini ya amani ina jambo la kujifunza hapa
Kamuombe msamaha yule mpemba urudi home,huenda akili ikakaa sawa.Tufanye hii ndo iwe goodbye mimi nawewe usinishobokee tena,,ukiona comment zangu pita mbali kama umeona banda la nguruwe
TCRA wanasubiri uchaguzi ufike watoe agizo la kufungia mitandao kwa muda. Haya mengine sio kazi yaoTCRA na vyombo husika vichukue hatua kali dhidi ya media na mhusika aliotoa matamshi yanayoweza kuleta uvunjifu wa amani
Hilo ni tatizo la kijamii sio la kundi la jamii. Wewe kama mwanajamii unatakiwa kukemea ili tusiruhusu upumbavu wa kuchafua imani za wengine uendelee.Hapo ndo mnapofeli wagalatia,, mleta uzi kazungumzia wasafi na yesu, sasa habari za msikiti na Allah zinaingiaje,, mbona unaongea kama vile una kipisi cha dhakali mat@qoni, afu huyo ni jamaa yenu tena ni nabii,,, sio shekhe wala ustadh huyo so punguza kisokorokwinyo,, huyo ni nabii shillah kama humjui
Yaani kutukana amtukane Yesu halafu radhi awaombe watu. Ama kweli watu wana masihara sana.Mkuu wa mhimili fulani alisema "Yesu na mke wake", baadae akaomba awiwe radhi kwa matashi ya kukera na kukosea kwa wenye imani ya Yesu. Kwa huyu kwenye hii video,hakuna mdomo kuteleza!
Kabla ya kuhukumiwa, wapewe nafasi ya kuthibitisha pasi na shaka madai hayo, huyo anayeyasema na kituo kilichoona habari hiyo ina tija na ina mizania ya wazi kusambazwa.
Wakithibitisha pasi na shaka, waachwe kama walivyo. Wakifeli kufanya hivyo, basi RUNGI lishushwe kwao bila kutumia fikra na hali ya kibinadamu.