Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
TCRA wasipoiadhibu Wssafi kwa hili nitajua kumbe nao wanaplay double standard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I wonder!Badala ya kutoa hoja unatoa uharo tu.
Kwani unadhani jamii haijui tabia zenu ya kwamba, '' kumtetea Allah ''
Wapi na wapi binadamu akamsaidia Mungu
Kwa namna ulivyoandika coment yako ya kwanza si kwa lengo la kuriact amani kwa dini pindi zinapokashifiwa kama unavyojinasibu,, isipokuwa ni kashfa pia kwa imani nyingine,, mkuu kwani mashekhe wewe wamekukosea nini?,, aliyehojiwa ni mtumishi wa mungu kama anayoojiita na aliyemhoji ni mkristo pia sasa wewe kinachokufanya uanze kuwahusisha waislam ktk hili ni nini? Sio fresh hata kidogo, hao maustadhi ni binaadamu kama wewe mkuu,, we dili na huyo shillah, wasafi tv na serikali na sio uislam kaka...Lengo ni kutoa funzo kwa watu wa 'dini ya amani' kujifunza jinsi ya kureact dini yao inapokashfiwa...au unataka na wakristo wawe wanareact kama mashekhe?
Wafuasi wa yesu Wana shida kichwani aliezingua ni mkristo mwenzao tena wanamuita nabii,vituko badala ya kumshambulia huyo nabii wao shila wanaushambulia uislamu kweli vituko haviishi [emoji23][emoji1787]
Tunatofautiana uelewa...wewe ndo ulielewa hivo mimi sikumaanisha hivo,,,sio kosa languKwa namna ulivyoandika coment yako ya kwanza si kwa lengo la kuriact amani kwa dini pindi zinapokashifiwa kama unavyojinasibu,, isipokuwa ni kashfa pia kwa imani nyingine,, mkuu kwani mashekhe wewe wamekukosea nini?,, aliyehojiwa ni mtumishi wa mungu kama anayoojiita na aliyemhoji ni mkristo pia sasa wewe kinachokufanya uanze kuwahusisha waislam ktk hili ni nini? Sio fresh hata kidogo, hao maustadhi ni binaadamu kama wewe mkuu,, we dili na huyo shillah, wasafi tv na serikali na sio uislam kaka...
Kwa ulichoandika wala haiitaji uende chuo ndo uelewe,, all in all sisi sote ni binaadamu,, kila mtu aamini anachokiamini,, kumuona mwenzio adui au kumdharau kisa tu imani yake na yako tofauti hiyo sio poa,, binafsi hata mimi sikupendezewa na hii interview,, nimeingalia yote YouTube,, jamaa ameenda mbali kabisa anasema eti yesu alijichora tattoo na andiko ametoa,,Tunatofautiana uelewa...wewe ndo ulielewa hivo mimi sikumaanisha hivo,,,sio kosa langu
hii haifai..Tcra walikuwa na kiherehere wakati we meko
Sasa hivi ni viazi tu
Sote ni binadamu, na hasahasa sote ni waafrika. hizi dini na ideology zilikuja na meli...Sidharau mtu wala sina uadui na mtu yeyote especially muafrika mwenzangu,,,ila nadharau ideology/imani na nina uadui na ideology/imani zinazodharau watu na kuwaona maadui kama kuwaita makafitri etc. Siwadharau wanaoamini hizo ideology ila napoint unafiki ulipo na kuzipinga hizo ideology. Lakini ninachoona watu wanaamini ukiipinga ideology flani basi unawachukia wanaoiamini..la hashaKwa ulichoandika wala haiitaji uende chuo ndo uelewe,, all in all sisi sote ni binaadamu,, kila mtu aamini anachokiamini,, kumuona mwenzio adui au kumdharau kisa tu imani yake na yako tofauti hiyo sio poa,, binafsi hata mimi sikupendezewa na hii interview,, nimeingalia yote YouTube,, jamaa ameenda mbali kabisa anasema eti yesu alijichora tattoo na andiko ametoa,,
shetani hana time na muslim mana anajua fika ni watu wake so sishangai hata ukimtukana Yesu wangu,endelea kufuga majiniIla kwenu fresh tu haina shida ht sk yesu wenu akichorwa anatiwa kidole mtakaa kimya, mana mnapenda sana amani nyie
Huyo dogo si anajiita Nabii Billionaire Shillah. Baba yake RPC Mwanza au Mara kama sijakoseaYesu sio sura ni roho
Hakuna mtu anaeweza kuukashifu uislam kirahisirahisi kwasababu waislam hawajaruhusu dini yao iwe sehemu ya mzaha au sehem ya kutafutia kiki.Wafuasi wa Allah Kama ndo matamshi haya yangaliwalenga,saa hii wangalikuwa barabarani wakimtetea.by the way wafuasi wa Kristo Ni wavumilivu sana
Waache wamzalilishe Hawatokuwa watu wa kwanza ktk uso wa dunia. Ila ktk kumdhalilisha ndipo utukufu wake Utadhihirika. Yesu Mwana Wa Mungu. Haitaji jeshi la wanadam kumtetea... Maana anauwezo na nguvu za kutisha kutoka kuwa chombo cha kumkashifu mapaka kuwa chombo kinamuubiri...
Unaweza kuwa kweli lakini Yesu ni genius..... Anakazi na huu utitiri wa makanisa keep coolHakuna mtu anaeweza kuukashifu uislam kirahisirahisi kwasababu waislam hawajaruhusu dini yao iwe sehemu ya mzaha au sehem ya kutafutia kiki.
Ndo maana hautawahi kuskia Kuna mtu anajiita nabii akitokea kwenye uislam manabii wote wa uongo wanatokea upande wa wakristo maana kule ni upande wa kibiashara zaid Leo hii maisha yakinichapa natafuta eneo naanzisha kanisa la turubali na kujiita nabii na ninapokelewa kumbe ni muhuni mwsho wa siku ndo yanajitokeza haya ya mtu kumuita yesu mwizi badala mjadili kuhusu nabii wenu aliemtukana yesu wenu mwizi nyie lawama mnawapa waislam
Ni ukweli kabisa usio na shaka laiti angeutukana uislam sahivi serekali ingekua imeshamshika maana angekua amedhihaki upande usio na masihara na hata hyo media ingekua imeshafungwa sahivi
Na ukute huyo mtoa kashfa yupo upande wa dini nyingine,wakristo sio kondoo kiasi hicho,kuna wimbo mmoja mond anasema ''yeye ndiye yesu kristo....lakini kwa upande wake hata kusema yeye ni maalim hawezi thubutu!Huyo ni nani na hicho kipindi kinaitwaje?
Hizi ni kufuru sasa!!
Kwani huyo ni nani anaetafuta umaarufu?