Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Watu wengine wanakocomment bila kuona hiyo clip.huu ni ukurupukaji wa wazi mimi sio mkiristo lakin nimemuelewa nabii shillah wala hakuwa na lengo la kumchafua yesu kama watu walivyoenda mbali kilometer 10000.hiyo video inayosambaa haikuanzia mwanzo.mimi nadhan walio anza hizo choko choko ni maadui zake wa siku zote.maana jamaa ana vimba sana.ukitaka kumuelewa jaribu kuangalia clip kuanzia mwanzo.

Watanzania ni wavivu wa kufikiri

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa mhimili fulani alisema "Yesu na mke wake", baadae akaomba awiwe radhi kwa matashi ya kukera na kukosea kwa wenye imani ya Yesu. Kwa huyu kwenye hii video,hakuna mdomo kuteleza!
Hivi alikuwa na akili kamili!!!?
 
Yaaan hawataki wakipata tatizo wapate peke yao mpk na sisi tuhusike [emoji1][emoji1] Afu alivyo fa#a anasema wangekua waislam.. sasa ni vibaya kumtetea Mungu wetu ama.. kaonesha pia ukubwa wetu kwmb hatutaki masihara kwa Mungu wetu ila kwao kaonesha baridi tuu ht wakidhihakiwa haina hj y mapanga
Mijinga hiyo mipagani
 
Sasa ikiwa hivyo ndivyo mbona wewe unawaatack mashekhe na uislam kwenye coment yako ya kwanza na si serikali,, Kwani mashekhe ndio waliomtuma? We anza kwanza na huyo nabii shillah na serikali yako na sio kuhuhusisha uislam na mashekhe ktk hili..
Huyo dada ni mdini Sana ni wa kumuepuka kama ukoma
 
Fala kweli tunacholalamika ni kwanini wasafi warushe live maudhui yale na wanajua ni kosa.
Wa kuhojiwa ni mtangazaji mkristo na nabii wenu shila mkristo utahoji vp watu wa dini nyengine kama sio umaku na ugasho ni nini?
 
Mbona akitajwa Mtume unakuwa mkali ila yeye kukashifu wengine na Imani sawa tu ila akitajwa mood aliyeliwa na nguruwe ndio unaumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Shila Yuko sahihi na hata huyo Yesu
 
Hopeless kabisa!! Mada nyingine nawewe unacomment kivingine, Sasa ingekuwa upande mwingne wangeweka vikao je, wewe umefurahia hicho kitendo?
Nimefurahia kitendo cha shillah kuendelea kuwa na amani mtaani licha ya kutukana dini fulani....ile dini ya amani ina jambo la kujifunza hapa
 
Kwa nini msimuache huyo Yesu wenu ajitetee! Ninyi ndo mnaitwa Religious Zealots..kama Yesu yupo kweli ajitetee mwenyewe...pumbavu ninyi mnaabudu sanamu mkidhani ni Mungu
Huyo Elohim mwenyewe baba yake na Yesu ni mla watu na mnyonya damu na ni shetani mwenyewe...
Alishindwa kujitetea Kwa wayahadi mpaka wakampigilia msalabani ataweza kujitetea sasa hivi
 
Mbona akitajwa Mtume unakuwa mkali ila yeye kukashifu wengine na Imani sawa tu ila akitajwa mood aliyeliwa na nguruwe ndio unaumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kusoma?Nisije kuwa nalumbana na zuzu.Rudia tena kusoma andiko langu.
 
Back
Top Bottom