Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Uzuri Yesu ni kama simba, simba hatetewi na mtu, Simba hujitetea mwenyewe kwa sauti na nguvu zake.
Mwacheni Yesu ajitetee mwenyewe...amshughulikie mwenyewe sisi yetu macho na masikio.
Kweli kabisa nashangaa watu mishipa inawatoka kabisa eti "wanamtetea" Yesu mwenye uweza wote ukiwemo wa kujitetea mwenyewe
 
Wasafi TV kwenye King’amuzi changu nine-lock muda mrefu sana baada ya kuona haina maadili kwa mtoto.
Sikufanya makosa kuifungia kwa hayo mambo.

Wakati Mwingine shetan ana muandaa Mtu kutoa taarifa kufikisha ujumbe kupitia vipindi kama hivyo
Kabisa. Wanajiita wasafi ila walitakiwa kujiita wapumbavu.....
 
Ni imani yake na ni jinsi yeye alivoelewa alichokisoma/kuambiwa mahali.

Hapo wenye makosa ni hao wasafi kuruhusu kipindi kama hicho kuruka ilhali ni matamshi yanayokashfu imani fulani. Ni kosa kwa hao wasafi kumhoji mtu amabe unaona fika hatumii hekma katika matamshi yake na wewe unaendelea kutikisa kichwa ukimuacha aendelee kubwabwaja.

Wasafi hawajakoma, walipewa adhabu ile nadhani hawajajirekebisha bado.
Wapewe tena na safari hii wafanye mwaka kabisa ili wapate joto ya jiwe.
 
Chamsingi ni kwamba haina haja ya kubishana na mpumbavu na huyo kijana anahitaji maombi na tutamuombea na asichukijua ni kwamba unapo mtolea maneno machafu mtu mwingine sio kwamba unamvunjia heshima yake bali unajivunjia heshima yako
Siwezi poteza seli zangu kuombea nguruwe moja inayoongea kwa akili zake. Halafu huyu usikute analiwa maana kwenye ile video anaonekana ana tako la maana kama demu.
 
Hilo ni tatizo la kijamii sio la kundi la jamii. Wewe kama mwanajamii unatakiwa kukemea ili tusiruhusu upumbavu wa kuchafua imani za wengine uendelee.
kwahyo imani isichallenjiwe???leo nikianzisha dini ya kuamini kuwa kuchinja watu wasioamini dini yetu ni sawa(Hii dini ya hivi ipo Tz) Nisichallenjiwe??Au dini za wazungu na waarabu ni perfect to the t
 
Itakua una umri mdogo,huko nyuma Simba ulanga akihubiri hadharani alidai alisoma na Allah sw mbagala na hakuwa na akili,lakini pia alidai mtume alikufa kwa ukimwi,hakupigwa hata konzi na majirani zake waislam pale maguruwe tmk
Hiki ndo kitu ninachokitaka..jamii iliyopevuka kiakili mpaka kuuthamini ubinadamu zaidi ya maandishi ya miaka 2000 iliyopita...kongole kwa hao waislam ambao hawakumfanya kitu simba ulanga maana walienda kinyume na uislam,quran na hadith ila wakajali utu na ubinadamu kwanza👏
👏
 
Hiki ndo kitu ninachokitaka..jamii iliyopevuka kiakili mpaka kuuthamini ubinadamu zaidi ya maandishi ya miaka 2000 iliyopita...kongole kwa hao waislam ambao hawakumfanya kitu simba ulanga maana walienda kinyume na uislam,quran na hadith ila wakajali utu na ubinadamu kwanza👏
👏
Una uhakika walienda kinyume na Qur'an,hadithi?
 
Utashangaa hata viongozi wa dini watatoa povu kulaani, utamteteaje mtu ambaye kila siku unamhubiri kuwa ni MTETEZI, SHUJAA, SIMBA WA YUDA??? ajitetee Mwenyewe "M" kubwa ina maana yake
Yaani watu wana vituko sana. Nakumbuka kilichomkuta Petro baada ya kujaribu kumtetea Yesu. Aliambiwa na Yesu "rudi nyuma yangu shetani. Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu bali ya wanadamu"
 
Yesu mnamhafam??pinganeni kwa hoja msihukumu
Hayo waachie ndugu na jamaa. Wewe zingatia kuheshimu hisia na mawazo ya wengine. Imani ni fimbo ya mkongoja watumiayo watu wanaotaka matumaini ya safari ya maisha kwahiyo usiwapokonye.
 
Huwa hawafikiri hao,Mambo yakitoka juu wanafikishiwa kupitia jumuiya,wanabeba tu,hiyo mungu hapiganiwi nlishamsikia papa,Cha ajabu yesu alibinua meza za wafanyabiashara hekaluni kwa kugeuza nyumba ya mungu kuwa soko
kwahiyo yesu alipigana na meza hivo wakristo wapigane na watu na kuwachinja?
 
Back
Top Bottom