Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Aisee mwenye uwezo wa kusambaza hii video Kwenye Twitter afanye hivyo....
hii TVs ilishafungiwa Kwa ujinga wao na sasa hapa inatakiwa kupigwa chini moja Kwa moja milele
 
Yaaan hawataki wakipata tatizo wapate peke yao mpk na sisi tuhusike [emoji1][emoji1] Afu alivyo fa#a anasema wangekua waislam.. sasa ni vibaya kumtetea Mungu wetu ama.. kaonesha pia ukubwa wetu kwmb hatutaki masihara kwa Mungu wetu ila kwao kaonesha baridi tuu ht wakidhihakiwa haina hj y mapanga
Mtukane Yesu upate utajiri
 
Niliiona hii kitu, sijapendezwa kabisa.

Afu jitu lenyewe sijui ni mchicha mwiba? Ni nini mwanaume anatembea anatikisa Kali.o?
Kwanza nasikia linatafuta tu attention kujitia limefanyia bdei kwa ndege kumbe hakuna lolote, ndege haikuruka kaishia tu kupigamo picha.

Kalipa dola 200 kupiga picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Humo ndani ya ndege mbona jamaa ka ameshalewa K-Vant ana bwabwaja bwabwajaaa

Hii haikubaliki, wahojiwe na vyombo husika
 
Wajifunze kwa wanamuziki the beetles waliosema tu wao ni maarufu kuliko Yesu. Kuna orodha ndefu ya wasanii waliomkashifu Yesu waliyapata wasiotegemea.Wasafi wamwombe msamaha Yesu huko waliko.
Acha propaganda uchwara Wewe,The Beatles hawakupata matatizo yoyote kisa kumkejeri Yesu huo uwongo unautoa wapi ndugu?
Mtu Kama John Lenon alifanyiwa figisu na FBI kisa misimamo yake ya kisiasa lakini sio huo Ujinga unaotuaminisha hapa
Nenda kasome kiundani sio hizo propaganda zako!
 
Wafuasi wa Allah Kama ndo matamshi haya yangaliwalenga,saa hii wangalikuwa barabarani wakimtetea.by the way wafuasi wa Kristo Ni wavumilivu sana
 
K
Angetajwa Mohamed Sasa hivi adhanaa zingekua Zinapigwa tu msikitini huku wakiimba tu Takbiiiir Takbiiiir
Kwahiyo wafuasi wa Mohammed wanastahili kuiga kwa wakristo kua kukejeliwa kwa mtume na kutukanwa kwake,siyo inshu sindiyo?
 
Badala ya kutoa hoja unatoa uharo tu.
Kwani unadhani jamii haijui tabia zenu ya kwamba, '' kumtetea Allah ''
Wapi na wapi binadamu akamsaidia Mungu
Kama ni uharo basi wako umevunda kabisa
Undhani vita vya msalaba (crusades) vilikuwa vya nini?
Sio lazima utudhihirishie uwezo mdogo wa kufikiri ulio "barikiwa'' nao
 
Shekhe ukweli unauma...yule jamaa aliyechana kulwani morogoro watu walipanda mabasi kutoka dodoma wakiwa wamenoa mapanga...bila serikali kuingilia kati kumfunga angekuwa mchangani saivi....Nachosema mimi haijalishi huyo shillah ni kabila au dhehebu gani ila angemtusi deshiseshi saivi angekuwa ameundiwa tume,,,na serikali ishazoea ikiona inayotusiwa ni dini ya kugeuza shavu upande wa kulia inakaa kimya lakini ikiona inayotukanwa ni dini ya Amani lazima iingilie kati kuleta amani.
Sasa ikiwa hivyo ndivyo mbona wewe unawaatack mashekhe na uislam kwenye coment yako ya kwanza na si serikali,, Kwani mashekhe ndio waliomtuma? We anza kwanza na huyo nabii shillah na serikali yako na sio kuhuhusisha uislam na mashekhe ktk hili..
 
Sasa ikiwa hivyo ndivyo mbona wewe unawaatack mashekhe na uislam kwenye coment yako ya kwanza na si serikali,, Kwani mashekhe ndio waliomtuma? We anza kwanza na huyo nabii shillah na serikali yako na sio kuhuhusisha uislam na mashekhe ktk hili..
Lengo ni kutoa funzo kwa watu wa 'dini ya amani' kujifunza jinsi ya kureact dini yao inapokashfiwa...au unataka na wakristo wawe wanareact kama mashekhe?
 
Kwani akidhalilishwa kuna shida gani?Si anaweza kujitetea mwenyewe?

Yaani wewe unamtetea Mungu/mtume ambae ana uwezo/mamlaka yote?

Kama yupo na anaishi mwache ajitetee mwenyewe.Yaani wewe ni wa kumtetea Mungu?
 
Back
Top Bottom