Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Chamsingi ni kwamba haina haja ya kubishana na mpumbavu na huyo kijana anahitaji maombi na tutamuombea na asichukijua ni kwamba unapo mtolea maneno machafu mtu mwingine sio kwamba unamvunjia heshima yake bali unajivunjia heshima yako
 
Huyo si ndio nabii shila sasa huyu nabii ana utimamu kweli,na kwenye kanisa lake watu wanamwamin na kumsikiliza kweli
 
Hapo angetajwa mtume kungekuwa na maandamano, huyo mtangazaji wa wasafi anapotosha kuhusu Imani ya kikristo, kwanini asijikite na mambo mengine atuachie Imani yetu, otherwise huyu ni mchochezi ka wachochezi wengine
Uzuri Yesu ni kama simba, simba hatetewi na mtu, Simba hujitetea mwenyewe kwa sauti na nguvu zake.
Mwacheni Yesu ajitetee mwenyewe...amshughulikie mwenyewe sisi yetu macho na masikio.
 
Hana kanisa huyo, huwa akijisikia anawaambia tu watu kuwa siku fulani atakuwa eneo fulani...

Duu jaman hiv inakuwaje wanaenda kumsikiliza
IMG_6772.JPG
nimeitoa insta hiyo
 
Hapo angetajwa mtume kungekuwa na maandamano, huyo mtangazaji wa wasafi anapotosha kuhusu Imani ya kikristo, kwanini asijikite na mambo mengine atuachie Imani yetu, otherwise huyu ni mchochezi ka wachochezi wengine
Jikite kwenye mada hayo ya mtume, Mtume hayahusiki hapa. Kumkejeli na kumuita mwizi ni kufuru inayohitaji kukemewa.Ku assume ni kupotezea mada na unafiki.Call a spade a spade.
 
Wafuasi wa yesu Wana shida kichwani aliezingua ni mkristo mwenzao tena wanamuita nabii,vituko badala ya kumshambulia huyo nabii wao shila wanaushambulia uislamu kweli vituko haviishi [emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom