Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

TCRA na vyombo husika vichukue hatua kali dhidi ya media na mhusika aliotoa matamshi yanayoweza kuleta uvunjifu wa amani
Amani imevunjwaje hapo sasa,mnajua huku dunia kunawatu wapigania kuweka samana na shetani mahakani. Ukisoma DA VINCI CODE Utasemaje sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…