Wasafi wamelamba dume kumchukua Edo Kumwembe

Huyo edo alikuwa anamsifia maximo.katika kila makala kwnye gazeti
. eti ooh maximo bonge la kocha hakuna mfano.. doh yanga si wakaingia mkenge wakamleta na yeye maximo akaona asije peke yake akaja na ndugu wa mke wake sijui JAJA na jojo .. kilichotokea walipokutana na mnyama inabaki kuwa historia!.. kifupi ushauri au maoni ya huyo edo ni ya kupuuza
 
kwa hiyo ilitakiwa ampondee?
 
Nakumbuka kabla msimu haujaanza, ndiye alikuwa kinara wa Ibenge anakuja Simba,Sven anaondoka......
Saiv naona anajifanya siyo yeye aliyesema (anajiona ana taarifa za ndani kumbe Holaaa).
 
Ni kweli Simba walitaka kumuondoa sema ule upepo wa CEO kuamia Yanga ukafanya wambakize mbona pia taarifa ya Morrison alitoa yeye kuamia Simba mbona ujaongea?
 
Kumwembe sio mchambuzi wa namna soka linavyochezwa bali ni msimulizi wa historia (matukio ya zamani) ya soka. Mchambuzi ni George Ambangile.
 
Nilikua cjawahi kumsikia akichambua kwa sauti Yan redion au Tv,nilikua nasoma makala zake kwenye Gazeti tu na nikaamini ni bonge la mchambuzi,Ila nilivoanza kumskia wasafi nikagundua walisajili jina tu hakuna mchambuzi pale.
 
Back
Top Bottom