kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
kwa hiyo ilitakiwa ampondee?Huyo edo alikuwa anamsifia maximo.katika kila makala kwnye gazeti
. eti ooh maximo bonge la kocha hakuna mfano.. doh yanga si wakaingia mkenge wakamleta na yeye maximo akaona asije peke yake akaja na ndugu wa mke wake sijui JAJA na jojo .. kilichotokea walipokutana na mnyama inabaki kuwa historia!.. kifupi ushauri au maoni ya huyo edo ni ya kupuuza
Ni kweli Simba walitaka kumuondoa sema ule upepo wa CEO kuamia Yanga ukafanya wambakize mbona pia taarifa ya Morrison alitoa yeye kuamia Simba mbona ujaongea?Nakumbuka kabla msimu haujaanza, ndiye alikuwa kinara wa Ibenge anakuja Simba,Sven anaondoka......
Saiv naona anajifanya siyo yeye aliyesema (anajiona ana taarifa za ndani kumbe Holaaa).
kwa hiyo ilitakiwa ampondee?